Ayatollah na viongozi wa Iran wapanga kukimbilia Venezuela nchi ikinuka

Ayatollah na viongozi wa Iran wapanga kukimbilia Venezuela nchi ikinuka

Wairan wamechoka na magaidi...dini isiwe utumwa bali iwe hiyari ya mtu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mungu aliwapa hiyari ya kuchagua akina Adam na Hawa, wewe ni nani uwapangie watu namna ya kuishi, hawa viongozi kulazimisha watu kwa kanuni za dini tena ambayo hata hawakushushiwa wao ni upuuzi.
 
Jana niliona rais wao akiongea na wanafunzi wa chuo sijui Tehran kwa upole sana akisema...kuandamana sio vibaya lakini kuandamana na fujo sio sawa
Hakuna namna zaidi ya kukubali matakwa ya wananchi tu.
 
Yenu ni mengi au tuleta habari zako za upinde wa mvua?? Huna kazi ya kufanya ...Huko kwenu hamna majukwaa kama haya .
Aina ya watu kama nyie ni mambumbumbu kabisa huko kwenu ukabila kibao sasa unakuja huku kuleta ushamba wao..
Uliona wapi mjanja akatokea kwenu? Ushamba tu!!
Takbiiiirrrrr
 
Kwa mlivyo, huwa hamjui kuficha siri...mnaumbuka ghafla.
Hizo ni propaganda za west ili kufanya machafuko yazidi Iran...kwa kuwa waandamanaji watajua wanakaribia kumwondoa huyo kiongozi hivyo kuzidisha nguvu. Hata sisi hapa tz tunajiandaa kuondoa hii takataka ya chooni Chama Cha Mambuzi na mambo yanakwenda vizuri maana wanajipalizia moto wenyewe kwa kupandisha gharama za maisha,tunasubir wapandishe umeme tukinukishe.
 
Qatar wameshangalia USA wanasema tuko pamoja na USA.
Halafu hii Iran si Ni nchi yenye history kubwa mno hata kwenye biblia. Ivi ndipo Eden garden ilipo.ile mesopatamia iko wapi ivi.
Ipo Iraqi
 
Kama Mungu aliwapa hiyari ya kuchagua akina Adam na Hawa, wewe ni nani uwapangie watu namna ya kuishi, hawa viongozi kulazimisha watu kwa kanuni za dini tena ambayo hata hawakushushiwa wao ni upuuzi.
Mbona we CCM inakupangia namna ya kuishi?
Tena bora raia wa Iran wanaweza kuingia mitaani kuwawajibisha viongozi wao wanapo fanya ujinga.

Wakati ww unapelekwa pelekwa kama lin'gombe na maccm.
 
Mmarekani mbaya sana,aliwavuruga walibya mpaka sasa hawako sawa kaingia na iran sasa,watakuja kujutia baadae hiki wanachokifanya,time will tell
Na kote anafanikiwa, hata sehemu watu wanazosema kuwa amefeli tazama jinsi alivyokuharibu.
 
Back
Top Bottom