Ayatollah na viongozi wa Iran wapanga kukimbilia Venezuela nchi ikinuka

Mmarekani mbaya sana,aliwavuruga walibya mpaka sasa hawako sawa kaingia na iran sasa,watakuja kujutia baadae hiki wanachokifanya,time will tell
 
Qatar wameshangalia USA wanasema tuko pamoja na USA.
Halafu hii Iran si Ni nchi yenye history kubwa mno hata kwenye biblia. Ivi ndipo Eden garden ilipo.ile mesopatamia iko wapi ivi.
Iko Iraq na sio iran
 
Sasa mambo ya Iran yanatuhusu nn humu ..wee jamaa nawe mtambo kweli eti wakimbie hiv unawajua hao unaosema watakimbia
 

Basi tulia hapo kama umeshindwa kuzileta, tutawaletea za maushetwani ya hiyo dini yenu mpaka mkome...
 
Basi tulia hapo kama umeshindwa kuzileta, tutawaletea za maushetwani ya hiyo dini yenu mpaka mkome...
Zipi unelate na hzina nguvu ...Unaonekana bogus kwani huna kazi
 
Utawala wa Mullahs ukianguka Iran ita reclaim its past glory. Hawa watu wameharibu sana historia nzuri ya Iran. Wamewafanya wairan waishi kama watu wa zama za mawe kwenye nchi yao
Haa yaani wairan wasio jua mgao wa umeme wala maji vinafananaje wanaishi kwenye ujima kuliko ww ambayo nchi yako imejaa giza kila sehemu?
 
Mkuu maisha ni zaidi ya maji na umeme.
Sasa nyinyi mna maisha gani kuwazidi hao wa Iran mpaka useme eti wanaishi kwenye ujima?
Maandamano huwa ni kawaida kwenye
nchi yeyote yenye raia wanao jielewa sio nyinyi huwa mnapelekwa pelekwa kama manyumbu na CCM.
 
Hii ni propaganda maandamano yamezimwa kwa 80%
 
wakiiangusha serikali yao basi ndio itakua mwisho kabisa wa kutamba kwa Iran katika medani za kijeshi na sayansi, maana USA wataweka mtu wao kila kitu kitakua sio siri tena kwa Marekani itakua kama Iraq na Libya
Sio rahisi kiivyo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…