Hata hivyo maka ni upigaji tu ukichunguza ni kama utalii tu,chunguza halafu jiongeze why kiwango cha gharama kiwepo ??!!Mleta mada acha kushadania mambo ambayo huyajui! kwanza ujuwe taifa la iran wengi ni mashia, na itikadi zao baadhi zinatofautiani na waislam walio wengi ktk dunia hii ambao ni sunni.
Kauliza Swali? Waislam huwa mnapata nini mkienda Kuhiji 🤣🤣🤣🤣, Mbona hamjaungana?Mleta mada acha kushadania mambo ambayo huyajui! kwanza ujuwe taifa la iran wengi ni mashia, na itikadi zao baadhi zinatofautiani na waislam walio wengi ktk dunia hii ambao ni sunni.
Sasa tafsri ya alichosema Ayatollah inahusiana Nini na Ushia Wake.Elimu yako ndogo sana , umeshindwa kuelewa intended meaning kwenye huo ujumbe na kurelate na yanayoendelea sasa.
Kweli kunyimwa akili ni umasikini mbaya na zaidi umeioamba habari kiudaku na wengine wasio elewa wanafuata mkumbo . Anyway hata akisema sio ajabu hivyo hao ni Mashia Wana kufuru kubwa sana na ni maadui wa Uislamu.
Kasongo yeye 🤣🤣🤣
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam
🤣 🤣 🤣Sasa kama Mwijaku na Haji Manara nao walishaenda Hija umuhimu uko wapi?!
Uislam haufuati Mawazo ya mtu ila unafuata maandiko ya Quran na Suna za mtume
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam
Aliuliza je "Hijja imewasaidia Nini Waislam?"Hapo kapinga vipi hajj?
Wewe nawe ngosha ilikuaje ukawa mwisilam ndugu yangu?Sema hizi dini bhana kwaiyo haji ni ya matajiri tu? Kwamba kwenye zile nguzo zipo zingine zinatumiwa na wenye uwezo tu
Ni shemeji yako, nilipata mtoto mweupe 🤣🤣🤣, siunajua tena wasukuma na vitu vyeupeWewe nawe ngosha ilikuaje ukawa mwisilam ndugu yangu?
Alooo pole sanaNi shemeji yako, nilipata mtoto mweupe 🤣🤣🤣, siunajua tena wasukuma na vitu vyeupe
Click link ufatilie mjadala mzima.hapo anasema hijj sio jambo ls kiimani tu bali pia jambo la kisiasa.kwa sababu linawakutanisha watu wwngi kwa wakati mmoja.
Sema usishangae sana ni lifuata mke tu sio dini, kwa hivi ninavyoishi wakiniona wataniita kafiri maana hadi yule ndugu yake na kasongo nakulaAlooo pole sana
Wewe mwarabu uchwara wa Mpigamiti uwe na uekewa wa dini kumliko mwenye dini,Bure kabisa,wewe mpinge Ayatollah akiongelea mizimu ya mababu zako sio kumuongelea mudi wewe uje juu.Ayatollah zimeanza kumfyatuka Haji ni katika Arkani Al Islam tano.
Hapo ndipo waislam wanavyo anza kuleta chuki, huyu Ayatollah yeye anaona siasa lakini Qur'an inasema Haji mwenye uwezo lazima aende mara moja ya kwake hakuna Haji mara mbili, hao wanao enda ya pili ni kuwahijia wengine sio wao na Haji huwa ni mara moja kwa mwaka katika mwezi wa Dhuh Al haji
Ayatollah Khomen naona zinataka kumruka 😄 🤣
Nasubilia jibuMkuu waeza tuonesha aya ipi katika Quran yaani maneno ya Allah inayosema nguzo tano ndio hizo na lazima zifuatwe.. maana nimepita pita sana kwenye hii dini sijakutana na hiyo aya... umma uelewe tafadhari sana kwa swali hilo maana imefika time we need to know everything
Uislam haufuati Mawazo ya mtu ila unafuata maandiko ya Quran na Suna za mtume
Kama ipo Aya inasema kuenda Hija ni kisiasa na sio kidini iwekwe hapa
gTurn Hammaz mjingamimiHii Mada imekuja kiutamu na ndio ina prove kuwa Waislam duniani ni Wachache sana ule msemo wako 1.2billion umedrop hadi 100 million... kwa macho yetu ila kiufupi waislam hakuna kwa number ni ZERO
Washia wakiulizwa kuhusu Wasuni -majibu sio waislam wale ni makafiri
Wasunni wakiulizwa kuhusu Washia -majibu sio waislam wale ni makafiri
Mtume wao nae alisema Uislam utagawanyika kwa sect 72 na Sect moja tu ndio itaenda Fildaus
Kwa sasa Waislam wana Sect karibu elfu false prophet
gTurn nakutag maana wewe huwa unajibu bila mihemukoMkuu waeza tuonesha aya ipi katika Quran yaani maneno ya Allah inayosema nguzo tano ndio hizo na lazima zifuatwe.. maana nimepita pita sana kwenye hii dini sijakutana na hiyo aya... umma uelewe tafadhari sana kwa swali hilo maana imefika time we need to know everything
Ayatollah zimeanza kumfyatuka Haji ni katika Arkani Al Islam tano.
Hapo ndipo waislam wanavyo anza kuleta chuki, huyu Ayatollah yeye anaona siasa lakini Qur'an inasema Haji mwenye uwezo lazima aende mara moja ya kwake hakuna Haji mara mbili, hao wanao enda ya pili ni kuwahijia wengine sio wao na Haji huwa ni mara moja kwa mwaka katika mwezi wa Dhuh Al haji
Ayatollah Khomen naona zinataka kumruka