Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Wewe dogo nenda kuvute unga ulale Ayatollah angekuwa anaujua Uislam angesema Haji ni siasa wakati huwezi kuwa Muislam kama hutambui Hija ni nguzo ya tano ya Kislam. Huyo hata aibu kuongea vile hata Mashia pia watampinga kwenye hilo.Wewe mwarabu uchwara wa Mpigamiti uwe na uekewa wa dini kumliko mwenye dini,Bure kabisa,wewe mpinge Ayatollah akiongelea mizimu ya mababu zako sio kumuongelea mudi wewe uje juu.
Dini ya kuja kwa jahazi hii inatabu sana
Ayatollah ana hojaAyatollah zimeanza kumfyatuka Haji ni katika Arkani Al Islam tano.
Hapo ndipo waislam wanavyo anza kuleta chuki, huyu Ayatollah yeye anaona siasa lakini Qur'an inasema Haji mwenye uwezo lazima aende mara moja ya kwake hakuna Haji mara mbili, hao wanao enda ya pili ni kuwahijia wengine sio wao na Haji huwa ni mara moja kwa mwaka katika mwezi wa Dhuh Al haji
Ayatollah Khomen naona zinataka kumruka 😄 🤣
Wewe dogo nenda kuvute unga ulale Ayatollah angekuwa anaujua Uislam angesema Haji ni siasa wakati huwezi kuwa Muislam kama hutambui Hija ni nguzo ya tano ya Kislam. Huyo hata aibu kuongea vile hata Mashia pia watampinga kwenye hilo.
Huyo alokwambia Dubai sio waislam ana matatizo ya akili.Waislam mnashida sana kwakweli
Naomba niulize swali uislam wa kweli ni upi na mwisilam wa kweli ni Nan?
Maana kwenu bakwata siyo waislam
Iran naye tena kumbe ni makafiri siyo waislam
Jana nilikuwa na mwisilam mmoja akasema Dubai siyo waislam nikamuuliza ni watu gani wale hakunipa jibu
Sasa basi naomba kujua waislam ni kina nani
Hammaz Kosugi gTurn
Wewe kenge nenda kawasubiri wa Italiano na Wajerumani wakupe riziki.Ayatollah ana hoja
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Alienda mbali zaidi akauliza "Hija imesaidia Nini umma wa Waislam?", na akaenda mbali zaidi akatoa mfano wa shida Kobazi wanazopitia kwenye inchi zao wakati kila mwaka wanakutana Hijja, ila hawaungani kwenye mambo ya kibinadamu
Hao washia ndo waislam sasaClick link ufatilie mjadala mzima.
"Ayatollah anaiona, Hijja ni tukio la Kisiasa na akaendelea mbali akajibu zaidi"
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Tofauti ya Washia na Wassuni ni kuwa Washia hupenda kujadili mambo kwa hoja zaidi na hata huoji mambo yanayofundishwa na Wassuni mfano Nini maana ya "Quran ilishuswha"
kwani siasa ni nini!?Click link ufatilie mjadala mzima.
"Ayatollah anaiona, Hijja ni tukio la Kisiasa na akaendelea mbali akajibu zaidi"
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Tofauti ya Washia na Wassuni ni kuwa Washia hupenda kujadili mambo kwa hoja zaidi na hata huoji mambo yanayofundishwa na Wassuni mfano Nini maana ya "Quran ilishuswha"
Beira boy, duuh mara nyingi ukiona mtu anakufurisha mwenzake kirahisi huyo ndio sio muislam wa kweli maana Uislam ni shule ili ukosoe lazima uwe unajua Sasa wew unamkosoa mtu bila hoja ya kisomi wewe dio shida yenyewe, na tatizo letu waislam tunafocus Kwenye differences than common interests hapo ndio tunafeli, Yani mtu anamkosoa bakwata Kwenye mwezi TU! Anamtoa katka Uislam hangalii ni mangapi tuna share na bakwata ambayo Yako ndani ya Uislam? Vile mtu anayemkosoa anahoja zake sio kwamba yuko mtu, binafsi naona hii ni ishu ya muislam mmoja mmoja na elimuWaislam mnashida sana kwakweli
Naomba niulize swali uislam wa kweli ni upi na mwisilam wa kweli ni Nan?
Maana kwenu bakwata siyo waislam
Iran naye tena kumbe ni makafiri siyo waislam
Jana nilikuwa na mwisilam mmoja akasema Dubai siyo waislam nikamuuliza ni watu gani wale hakunipa jibu
Sasa basi naomba kujua waislam ni kina nani
Hammaz Kosugi gTurn
Poa poa kumbuka kutubu na kurudi kwa BWANA ndugu yanguSema usishangae sana ni lifuata mke tu sio dini, kwa hivi ninavyoishi wakiniona wataniita kafiri maana hadi yule ndugu yake na kasongo nakula
Asante sana ndugu yanguHuyo alokwambia Dubai sio waislam ana matatizo ya akili.
Na huyo aliyekwambia BAKWATA sio waislam ana matatizo ya akili kaka.
Muislam wa kweli ni yule anayefuata nguzo za uislam ikiwemo ya kuitakidi kuwa Mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake.
Shia wanatambulika kama makafiri nyuma ya pazia 90% yao kwasababu ya sheria zao 12 za ushia zinaendana na misingi ya uislam.
Ikiwemo itakidi yao wanasema kuwa Mungu mmoja na Ally ni mtume wa Mungu badala ya Muhammad.
Hilo linatosha kabisa kuwakufurisha mashia.
BAKWATA ni taasisi inayojinasibu kuongoza jumuiya ya waislam Tanzania.
Na hiyo taasisi inapinzana na taasisi zingine za kiislam kama BASUTA-Baraza la sunna Tanzania kwenye masuala ya kielimu mathalan muandamo wa mwezi.
Jambo ambalo hata wanazuoni wakubwa kina Malik na Shafii walikua wakikinzana na hilo ni jambo la kawaida sana.
Shida wa Tanzania tunakuendekeza misimamo isiyo na vichwa Wala miguu kwa kufata mkumbo pasi hata kuwa na elimu juu ya jambo hilo.
Nilimjibu mdau mmoja hapo juu Kama ujaridhika sema niongezee nitakachojaliwa Beira BoyNdugu nguzo za Uislam hazija tajwa zote Kwenye aya Moja lakini Kuna nguzo mbili ambazo huwa zinatajwa Kwa pamoja kutokana na ulazima wake na umuhimu Kwa waja
1. Shahada, Quran 3:18
2, sala na zaka Quran 2:43,2:110,62;9
3.zaka, Quran 2:43, ziko aya 26 zilizotaja zaka
4.swaum 2:183
5.haji 3:47
Nazimejirudia zipo nyingi na ni lazima Kwa muumini kuzishika hizo
Asante sana ndugu yanguBeira boy, duuh mara nyingi ukiona mtu anakufurisha mwenzake kirahisi huyo ndio sio muislam wa kweli maana Uislam ni shule ili ukosoe lazima uwe unajua Sasa wew unamkosoa mtu bila hoja ya kisomi wewe dio shida yenyewe, na tatizo letu waislam tunafocus Kwenye differences than common interests hapo ndio tunafeli, Yani mtu anamkosoa bakwata Kwenye mwezi TU! Anamtoa katka Uislam hangalii ni mangapi tuna share na bakwata ambayo Yako ndani ya Uislam? Vile mtu anayemkosoa anahoja zake sio kwamba yuko mtu, binafsi naona hii ni ishu ya muislam mmoja mmoja na elimu
alafu huyo ana ugomvi wa kimadhehebu na saudia.***** ***** zote hizo hataki serikali ya saud isimamie hija kitu ambacho hakiwezekaniClick link ufatilie mjadala mzima.
"Ayatollah anaiona, Hijja ni tukio la Kisiasa na akaendelea mbali akajibu zaidi"
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Tofauti ya Washia na Wassuni ni kuwa Washia hupenda kujadili mambo kwa hoja zaidi na hata huoji mambo yanayofundishwa na Wassuni mfano Nini maana ya "Quran ilishuswha"
Shida kuu ni moja, elimu.Asante sana ndugu yangu
Lakini kwanini waislam hamuelewan kabisa?
🤣 🤣 🤣Wewe kenge nenda kawasubiri wa Italiano na Wajerumani wakupe riziki.
Haji inahusiano gani na alicho ongea ikiwa Mitume wa Mungu kina Ayoubu, Mussa, Yusufu, Nuhu, Ibrahim, Yesu na Muhammad walipitia mitihani kuna pepo unaenda bila kusumbukia labda pepo ya kikristo hio 😄 🤣
Mambo ya kungana walio enda Haji kwani wao ni serekali au kila mmoja anaenda kwa pesa zake kichaa tu ndio atasema Haji haina faida
Umejibu vyema sana kaka yanguShida kuu ni moja, elimu.
Siku hizi kila mtu shehe na kila mtu anaijua dini.
Pia mafunzo sahihi ya dini hayatolewi badala yake tunawamezesha vijana itikadi na misimamo badala ya kuwaelimisha watoto misingi na muenendo wa dini.
Na nadhani kaka unafahamu kuwa nini kinafuata ukimmezesha mtoto itikadi na misimamo.
Ataanza kuona wengine wote wanakosea na hawafai tatizo linaanza hapo.
Hapo Kwa mashia nakupinga ndio maana Kuna posti nimesema inabidi tufanye tafiti kwanza shia wanatambua shahada zote mbili na nguzo zote naomba uwafuatilie utagundua kituHuyo alokwambia Dubai sio waislam ana matatizo ya akili.
Na huyo aliyekwambia BAKWATA sio waislam ana matatizo ya akili kaka.
Muislam wa kweli ni yule anayefuata nguzo za uislam ikiwemo ya kuitakidi kuwa Mungu ni mmoja na Muhammad ni mtume wake.
Shia wanatambulika kama makafiri nyuma ya pazia 90% yao kwasababu ya sheria zao 12 za ushia haziendani na zinapingana na misingi ya uislam.