Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanakumbi.
Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita.
Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi.
Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la mawaziri kwa ajili yake?
===================
Aysenur Ezgi, an American of Turkish decent, has died after being shot in the head by Israeli soldiers in the town of Beita. Aysenur was shot in the head while participating in protests against settlement expansion.Will
@JoeBiden convene a cabinet meeting for her?