Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

hawezi kufanya huo upuuzi kwa mmarekani mwenye asili ya uturuki, nachelea kusema pia si wa dini yake, very unfortunately, ukweli ndio huo. kwani yeye anavyoandamana alikuwa hajui kama askari wazayuni wana bunduki mkononi na wamevurugwa kishenzi? wanavuga hadi bange wale na october 7 imewafanya wawe simba aliyejeruhiwa. haoni waisrael wakiarabu kule Nazareth wapo kimya, yeye anafikiri ni wajinga? kwa bahati mbaya sana, it has been at her own peril.
Hata angekua wa asili yake asingefanya kitu USA.
Mwaka huu huu kuna wamarekani asili ya Irish watano waliuliwa na guided munition wakiwa wamepeleka msaada wa vyakula Gaza.
Na wanamiliki restaurant hapo USA.
Na USA hakufanya lolote.
Bora hata France alivyouliwa consulate official wake aliamua kusitisha kumuunga mkono Israel na akarudi nyuma na kukaa neutral.
 
Kiherehe! Kwanini atoke Marekani mpaka Rafah kuja kufany Fujo?!
Bro kuna muda huwa unaongea upuuzi sana.
Misaada yote inapitia rafah border.
Hapo kila anayepeleka misaada anaruhusiwa kupita hapo.
Na hilo ndio eneo ambalo IDF walisema raia wakimbilie hapo.
Kwanini eneo ambalo umesema watu ndio wakimbilie ni salama unashambulia na guided munition!??
Kwa hii kauli yako nasitisha kujadiliana na wewe kuanzia leo.
Maana umekaa kimlengwa wa kidini na hao waliouliwa walikua wamarekani wazungu na walifika hapo kisheria wakiwa na gari la vyakula.
Itoshe kusema sitakaa nikajadili na wewe.
 
Alienda kuleta fujo nchi za watu. Amekipata alichokua anatafuta
 
Wewe hujui lolote West Bank kuna Hamas?
Kumbe hata jambo dogo kama hili haulijui?
Palestinian Authority ya West Bank inaongozwa na Fatah wakati Palestinians Authority ya Gaza inaongozwa na HAMAS.

Kumbuka, uchaguzi wa mwisho wa kuchagua Palestinian Legislative Council (PLC) ulifanyika mwaka 2006 ambapo HAMAS waliibuka washindi kwa kupata 56% ya viti vyote huku Fatah, kilichokuwa chama tawala kikiambulia 34% ya viti vyote.
Ushindi huu ulileta mkorogani na mgawanyiko baada ya Fatah kugoma ku kukabidhi madaraka na matokeo yake, vikagawana maeneo huku Fatah akijichukulia West Bank na Hamas akitawala Gaza.
 
Unaandika maelezo mengi hata ujaulizwa hoja yangu nilikuwa namjibu mwenzako kusema huyo raia wa Marekani kauliwa na Hamas huko West Bank ndiyo nikamjibu West Bank hamna Hamas huko! Hoja yako nini? Halafu Hamas Imetawala Ukanda wa Gaza unaokaliwa na Israeli tangu 2007. Tofauti na ulivyoandika Fatah hawakugoma walishindwa na Hamas.

Unajifanya unajua kumbe hamna kitu hizo data zako za viti na asilimia za uongo.
 
Unatia huruma sana wewe kituko, kumbe ndiyo maana unajiita Uharo unashabikia tu vitu kumbe huna unachojua
 
Tofautisha kati ya kuwepo na kuongoza. Hamas wapo West bank ndiyo maana uchaguzi wa 2006 walishinda PLC ambayo baada ya Fatah na Hamas kugawana mbao Hamas akabaki na Gaza huku Fatah wakiongoza West Bank, hiyo ikapelekea PLC kuwa inactive hadi leo. Hamas ina wanachama wake West Bank ingawa imepigwa marufuku kule na ni miongoni mwa walioipigia kura kwa wingi.

Uyakuwa umeshalewa, maana unaendelea kuandika makorokocho tu.

Sasa haya maelezo unamuandikia nani?
Wewe punguni kweli unaandika uharo lakini sishgangai tabia zenu mashoga ufahamu hata mfumo wa kurq Palestina eti unajichanganya mwenyewe wewe mlokole mara Hamas wapo West Bank mara wamepigwa marufuku wewe shoga kweli? Nakuuliza tena Hamas walipata viti 74. West Bank walipata viti vingapi katika hivyo viti 74? Wewe shoga ufahamu hata walikuwa wanapiga kura kila mpiga kura.
 
Unauliza uwepo wa Hamas West bank kwa mlengwa upi!?
Kama jeshi,kama chama ama kama ideology!?
 
Tatizo lako shoga wangu wewe uelewa wako ni zero.
Kwa kuwa CHADEMA hawana mbunge zanzibar ndiyo utasema CHADEMA hawapo Zanzibar? Au kwa kuwa CCM inatawala Tanzania utasema vyama vingine havina wanachama? Mbona hili jambo jepesi sana? Unaelekezwa lakini ulivyo na makamasi kichwani hata hauelewi.
A
 
Hayu shoga la kilokole jinga sana.

Hamas na Fatah kila mmoja na ideology yake.

Hawawezi kukaa sehemu moja.
 
Uwe na akili, tofautisha uwepo na kutawala. Rudi kwenye hizo chaguzi za 3006 kaangalie Hamas walipata asilimia ngapi ya kura kule West bank ndiyo utajua wapo au hawapo.
Unapenda sana ushoga kiasi kwamba hauwe kuandika comment bila ya kuutaja, hata kama unainama inama kila mara haimaanishi ndiyo uipende ushoga kiasi hicho
Wewe shoga la kilokole huna unalojua. Hata mfumo wa kupiga kura Palestina ufahamu.

Fatah ana viti 45

Hamas wana viti 74

Halafu rais anatoka Fatah unajua kwa nini?

Wakati Hamas anashinda viti hivyo Waziri Mkuu wa Palestina kwa nini aliendela kutoka Fatah pamoja na Rais?
 
Yaani nikuelekeze mimi halafu wewe uendelee kurudiarudia nilichokileta huku ukisema sijui? 🤣🤣🤣
Mapunga kweli wana matatizo ya akili,
 
Wewe shoga mzee umesema hivi HAMAS walibuka washindi kwa kupata 56% ya viti vote huku Fatah, kilichokuwa chama tawala kikiambulia 34% ya viti vote.

Kwa hiyo idadi ya viti 74 na Fatah 45 umeeleza wewe😀

Utakuwa upo kwenye peroid unaharisha.

Palestina kuna viti 131 hivyo viti vingine unajua vya nani wewe shoga mzee au navyo umesema wewe😀
 
Tatizo lako shoga wangu wewe uelewa wako ni zero.
Kwa kuwa CHADEMA hawana mbunge zanzibar ndiyo utasema CHADEMA hawapo Zanzibar? Au kwa kuwa CCM inatawala Tanzania utasema vyama vingine havina wanachama? Mbona hili jambo jepesi sana? Unaelekezwa lakini ulivyo na makamasi kichwani hata hauelewi.
A
Mkuu twende taratibu tunajadili sote pia tupunguze kutukanana.
Huwenda ukawa sahihi upande mmoja ama upande mwingine.
Sasa tujuze uwepo unaouzungumzia ni kijeshi,kichama ama ideology??
 
Back
Top Bottom