Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
West Bank pia kuna magaidi. Israel imeua zaidi ya magaidi 600 tangu Oct 7Wewe hujui lolote West Bank kina Hamas?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
West Bank pia kuna magaidi. Israel imeua zaidi ya magaidi 600 tangu Oct 7Wewe hujui lolote West Bank kina Hamas?
Magaidi wengi sana hawa hapa.West Bank pia kuna magaidi. Israel imeua zaidi ya magaidi 600 tangu Oct 7
Kuna raia watano mkuu wa Marekani walikuja kutoa msaada wa vyakula Gaza walilipuliwa ndani ya gari.US huwa haina utani na raia wake.
Ukienda uwanja wa mapambano chochote kinaweza kutokea.Kuna raia watano mkuu wa Marekani walikuja kutoa msaada wa vyakula Gaza walilipuliwa ndani ya gari.
Tena hao ni wazungu kabisa na hadi leo kesi hamna.
nyiny huwa hamuoni makosa waislam wenzenu na mnapenda kuanza simulia pale Israel anajibu mashambuliz na sio kusimulia kilichochochea Israel kujibuWewe hujui lolote West Bank kuna Hamas?
Magaidi wengi sana hawa hapa.
View: https://x.com/enr3nahhnlif7bc/status/1831788324526420166?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
hawezi kufanya huo upuuzi kwa mmarekani mwenye asili ya uturuki, nachelea kusema pia si wa dini yake, very unfortunately, ukweli ndio huo. kwani yeye anavyoandamana alikuwa hajui kama askari wazayuni wana bunduki mkononi na wamevurugwa kishenzi? wanavuga hadi bange wale na october 7 imewafanya wawe simba aliyejeruhiwa. haoni waisrael wakiarabu kule Nazareth wapo kimya, yeye anafikiri ni wajinga? kwa bahati mbaya sana, it has been at her own peril.Wanakumbi.
Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita.
Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi.
Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la mawaziri kwa ajili yake?
===================
Aysenur Ezgi, an American of Turkish decent, has died after being shot in the head by Israeli soldiers in the town of Beita. Aysenur was shot in the head while participating in protests against settlement expansion.Will
@JoeBiden convene a cabinet meeting for her?
Mturuki mwenye uraia wa marekani kama roma mkatolikiWanakumbi.
Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita.
Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi.
Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la mawaziri kwa ajili yake?
===================
Aysenur Ezgi, an American of Turkish decent, has died after being shot in the head by Israeli soldiers in the town of Beita. Aysenur was shot in the head while participating in protests against settlement expansion.Will
@JoeBiden convene a cabinet meeting for her?
Neno Native na Halisi hayafanani, Red Indians ni Native Americans, neno halisi ni pana ungeniuliza kwanza nimemaanisha niniMmarekani halisi ni yupi?
Labda red indians hawa wengine ni Europe, Latin America n.k
Wanakumbi.
Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita.
Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi.
Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la mawaziri kwa ajili yake?
===================
Aysenur Ezgi, an American of Turkish decent, has died after being shot in the head by Israeli soldiers in the town of Beita. Aysenur was shot in the head while participating in protests against settlement expansion.Will
@JoeBiden convene a cabinet meeting for her?
Duuu wewe jamaa kweli ni ISIS, tusubiri tu kusikilizia ALLAHU AKBARU na ukamchinja mtuZilipendwa hizi 😀
Eneo walilouliwa hao sio eneo la mapigano.Ukienda uwanja wa mapambano chochote kinaweza kutokea.
Aliuliwa eneo gani?! Halafu tangu Oct 7 karibia maeneo yote ya Palestine na Israel sio sehemu salama.Eneo walilouliwa hao sio eneo la mapigano.
Na wameuliwa kwa GUIDED MUNITION.
Nadhani unajua maana ya guided munition.
Yani hiyo ni deliberate action.
nyiny huwa hamuoni makosa waislam wenzenu na mnapenda kuanza simulia pale Israel anajibu mashambuliz na sio kusimulia kilichochochea Israel kujibu
Hivi unaongea ama unaropoka!??nyiny huwa hamuoni makosa waislam wenzenu na mnapenda kuanza simulia pale Israel anajibu mashambuliz na sio kusimulia kilichochochea Israel kujibu
Mpaka wa Rafah.Aliuliwa eneo gani?! Halafu tangu Oct 7 karibia maeneo yote ya Palestine na Israel sio sehemu salama.
Chochote kinaweza kutokea.
Kuna utofauti gani kati ya halisi na native?Neno Native na Halisi hayafanani, Red Indians ni Native Americans, neno halisi ni pana ungeniuliza kwanza nimemaanisha nini