Hakuna ushahidi wowote wa aliempiga risasi, kwanini urukie conclusion bila ushahidiWanakumbi.
Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita.
Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi.
Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la mawaziri kwa ajili yake?
View: https://x.com/smohyeddin/status/1832033266192515294?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Na hainaga utani kwenye ushahidi, Tunasubiria video yenye ushahidi maana Hamas wanapenda sana hii michezo, waliua na kuteka wamarekani October 7US huwa haina utani na raia wake.
Mzee watu wamesomea kazi zao.Na hainaga utani kwenye ushahidi, Tunasubiria video yenye ushahidi maana Hamas wanapenda sana hii michezo, waliua na kuteka wamarekani October 7
Yes, tunaamini wataleta ushahidi na sio maneno matupuMzee watu wamesomea kazi zao.
Kuna Wamarekani wenye asili ya Palestinia wameuawa sana na Israel ila beberu US alibaki kimya tuUS huwa haina utani na raia wake.
Mmarekani halisi ni yupi?Angekuwa Mmarekani halisi sawa ila mwenye asili ya Uturuki hamna kitakachofanyika
Kama ana support ugaidi atashughulikiwa tu. Haijalishi uraia wake
Wewe hujui lolote West Bank kuna Hamas?Hakuna ushahidi wowote wa aliempiga risasi, kwanini urukie conclusion bila ushahidi
Kuna uwezekano wa asilimia 90 ni Hamas wamemtandika risasi kwajili ya kupost video mtandaoni, hawa wadudu hawajali maisha ya watu, waliua na kuteka wamarekani kwenye tukio la October 7
West bank kuna Palestinian Islamic Jihad ndugu zao wa karibu kina Hamas.Wewe hujui lolote West Bank kina Hamas?
Yaani huyu inaelekea kwenye mandamano ya wajinga kule US aliona hayatoshi kaamua kupanda ndege hadi Israel aandamane vizuri aonekane.. R.I.P Ataenda kumueleza vizuri Allah kuwa hasomi Quran ambayo Allah kasema Ardhi ni Ya Wayahudi hadi Kiama.. Peponi huko atamuambia Allah wewe Mjinga sana tunaandamana na kukusifia lakini unawajali Wayahudi tu na ulisema umewapendeleaWanakumbi.
Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita.
Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi.
Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la mawaziri kwa ajili yake?
===================
Aysenur Ezgi, an American of Turkish decent, has died after being shot in the head by Israeli soldiers in the town of Beita. Aysenur was shot in the head while participating in protests against settlement expansion.Will
@JoeBiden convene a cabinet meeting for her?
Yaani huyu inaelekea kwenye mandamano ya wajinga kule US aliona hayatoshi kaamua kupanda ndege hadi Israel aandamane vizuri aonekane.. R.I.P Ataenda kumueleza vizuri Allah kuwa hasomi Quran ambayo Allah kasema Ardhi ni Ya Wayahudi hadi Kiama.. Peponi huko atamuambia Allah wewe Mjinga sana tunaandamana na kukusifia lakini unawajali Wayahudi tu na ulisema umewapendelea
Bila kusahau vijana raia wa kitanzaniaNa hainaga utani kwenye ushahidi, Tunasubiria video yenye ushahidi maana Hamas wanapenda sana hii michezo, waliua na kuteka wamarekani October 7