Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

West bank kuna Palestinian Islamic Jihad ndugu zao wa karibu kina Hamas.

Chukulia Hamas kama msamiati wa kukitambua kikundi chochote cha kigaidi Palestina
Hujui lolote wewe chaguzi zote Hamas hawapati hata kiti kimoja West Bank.
 
hawezi kufanya huo upuuzi kwa mmarekani mwenye asili ya uturuki, nachelea kusema pia si wa dini yake, very unfortunately, ukweli ndio huo. kwani yeye anavyoandamana alikuwa hajui kama askari wazayuni wana bunduki mkononi na wamevurugwa kishenzi? wanavuga hadi bange wale na october 7 imewafanya wawe simba aliyejeruhiwa. haoni waisrael wakiarabu kule Nazareth wapo kimya, yeye anafikiri ni wajinga? kwa bahati mbaya sana, it has been at her own peril.
 
Mturuki mwenye uraia wa marekani kama roma mkatoliki
 

View: https://youtu.be/9gEPHbvcjz0?si=u3SVxSI3vrpZrCgt
 
Ukienda uwanja wa mapambano chochote kinaweza kutokea.
Eneo walilouliwa hao sio eneo la mapigano.
Na wameuliwa kwa GUIDED MUNITION.
Nadhani unajua maana ya guided munition.
Yani hiyo ni deliberate action.
 
Eneo walilouliwa hao sio eneo la mapigano.
Na wameuliwa kwa GUIDED MUNITION.
Nadhani unajua maana ya guided munition.
Yani hiyo ni deliberate action.
Aliuliwa eneo gani?! Halafu tangu Oct 7 karibia maeneo yote ya Palestine na Israel sio sehemu salama.
Chochote kinaweza kutokea.
 
nyiny huwa hamuoni makosa waislam wenzenu na mnapenda kuanza simulia pale Israel anajibu mashambuliz na sio kusimulia kilichochochea Israel kujibu
Hivi unaongea ama unaropoka!??
Chanzo cha haya yote ni Israel kufanya vurugu August 23 kabla ya October Hamas kujibu.
Muwe munafuatilia vyanzo sio kuropoka ropoka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…