Sijui kama hata wewe unakielewa hiki ulichokiandikaWewe shoga mzee umesema hivi HAMAS walibuka washindi kwa kupata 56% ya viti vote huku Fatah, kilichokuwa chama tawala kikiambulia 34% ya viti vote.
Kwa hiyo idadi ya viti 74 na Fatah 45 umeeleza wewe😀
Utakuwa upo kwenye peroid unaharisha.
Palestina kuna viti 131 hivyo viti vingine unajua vya nani wewe shoga mzee au navyo umesema wewe😀
Native= Asili/AsiliaKuna utofauti gani kati ya halisi na native?
Basi naona mkuu yeye alikusudia asili.Native= Asili/Asilia
Halisi= Real, True, Genuine, Authentic
Huyo upinde hajui lolote atakupasua kichwa hajui hata Palestina kulikuwa ni viti vingapi kwenye uchaguzi wao namtumia idadi ananiuliza unafahamu ulichoandika anakuwambia Hamas wapo West Bank lakini asemi wapo mji gani😀Mkuu twende taratibu tunajadili sote pia tupunguze kutukanana.
Huwenda ukawa sahihi upande mmoja ama upande mwingine.
Sasa tujuze uwepo unaouzungumzia ni kijeshi,kichama ama ideology??
Bora wayahudi Wana thamani wakifa wawili tu kelele inapigwa, Ukraine vita ilivyoanza walipokewa ulaya, wapalestina wameuliwa elf 40+ na hamna anayejali hata Waarabu wenzao wako kimya, ila Waarabu wa kisemvule makelele kibaoYahudi jeusi la MAKWENJE linatoa tamko😀