Wakati wanauwa raia jeshi polisi lilikuwa wapi?magaidi waliofadhiliwa na AZAKI kuua
Jeshi la polisi haliishi ndani ya ofisi za AZAKI gentleman,Wakati wanauwa raia jeshi polisi lilikuwa wapi?
hiyo sio barua gentleman,Ndio barua ya chande kwenda kwa mamaduro inasema?
hiyo sio barua gentleman,
ni maelezo mafupi juu ya AZAKI kupanga, kutoa mafunzo, kufadhili magaidi na matukio ya kigaidi yaliyosababisha uharibifu na maafa mabaya na ya kusikitisha sana ya watoto na wananchi wasio na hatia nchini Tanzania.
unafedhehesha sana gentleman,We umejuaje? Mamaduro kasema ni barua yake ya siri? Ulikua chumbani kwake ukasoma naye hayo? Au uzushi tu kama mlivyozoea?
Sio tena vijana waliolipwa wala migambo iliyopata mafunzo ya siri na tissue, mapolisi, magereza, majeshi, nk hawakujua?
unafedhehesha sana gentleman,
yaani kijana mwenzako anasema alipewa mafunzo, alilipwa na kuahidiwa malipo zaidi halafu wewe unakuja kumbwelambwela hapa?
halafu,
hao vijana waliopewa mafunzo ya kigaidi wakikujua si wanaweza kupita na wewe kwa hasira sana
AZAKI zilizohusika na kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi yaliyosababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu nchini, lakini pia zilizohusika na maafa ya watoto na wananchi wasio na hatia zimebainishwa wazi katika ripoti ya tume ya jaji chande gentleman,Huishiwi na upuuzi na moderator wanakuvumilia sana.. Kwahiyo hata JF nayo ilihusika kwenye hizi tuhuma zako za kipuuzi?
gentleman,Kijana chawa anasema?
Na hizo fweza zilipitia wapi? tissue, mapolisi, magereza, majeshi, nk hawakujua? Walilipa cash. kwa mpesa? wire transfers? cheque? Then mafunzo yakafanyikia wapi? Chumbani au ndotoni? misikitini, vyuoni au makanisani? Porini au kwa viwanja vya masisiemu? tissue na hayo hawakuyaona pia kijana? wana kazi gani sasa? walikuwa pia wanasubiri barua ya baba chande?
gentleman,
sasa hayo ya sijui pesa ilipita wapi, ni cash au m-pesa n.k. ni mambo ya kuniuliza mimi kweli na wakati vijana waliolipwa na mfadhili wao AZAKI ili wakafanye ugaidi wameileza wazi tume ya jaji chande ?
kwani kwenye kibarua unachofanya wewe, namna unavyolipwa lazima wengine wajue? si manalipana kadiri mnavyokubaliana kazi
Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030.
Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia Oct.29.2025.
AZAKI pia, ndiyo iliyotoa vifaa vilivyotumiwa na magaidi kukata wapiga kura vidole, kupiga picha matukio ya kihalifu waliyokua wakiyafanya, kulipua vituo vya mafuta, makazi ya watu, ofisi za umma na baadhi ya nyumba za ibada maeneo mbalimbali nchini. AZAKI pia ndie mfadhili na msambazaji mkuu wa vyakula na maji kwaajili ya magaidi na majambazi waliokua wakifanya fujo na vurugu maeneo mbalimbali nchini.
Kwa kifupi,
AZAKI haina tofauti na Iran iliyokua ikiwafadhili magaidi wa HAMAS kuleta fujo na maafa ya watu wasio na hatia mashariki ya kati. Kupanic kwao baada ya kuumbuliwa na tume ya jaji chande kunadhihirisha ufedhuli wao waziwazi kabisa kwa dunia nzima.
Napendekeza hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi ya AZAKI zilizoshiriki kikamilifu katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo, kutekeleza matukio ya kigaidi na hatimae kusababisha uharibifu na vifo vya watoto na wananchi wasio na hatia. Ikithibitika, AZAKI hizo zifutwe mara moja kwa mujibu wa sheria na wahusika kufungwa jela maisha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Gentleman,Wewe unayajua hayo yote wakati Mombo na Wambura wameshindwa kuyajua.
Napendekeza upewe wewe hizo kazi zao maana wameshindwa kutulinda.
Ni juzi tu hata pale Marekani,
Rais wa Marekani Donald J. Trump na mkewe akiwa na mfale Charles wa3 wa uingereza alinusurika na mashambulizi ya kigaidi akiwa kwenye hafla muhimu ya kitaifa.