Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030.

Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia Oct.29.2025.

AZAKI pia, ndiyo iliyotoa vifaa vilivyotumiwa na magaidi kukata wapiga kura vidole, kupiga picha matukio ya kihalifu waliyokua wakiyafanya, kulipua vituo vya mafuta, makazi ya watu, ofisi za umma na baadhi ya nyumba za ibada maeneo mbalimbali nchini. AZAKI pia ndie mfadhili na msambazaji mkuu wa vyakula na maji kwaajili ya magaidi na majambazi waliokua wakifanya fujo na vurugu maeneo mbalimbali nchini.

Kwa kifupi,
AZAKI haina tofauti na Iran iliyokua ikiwafadhili magaidi wa HAMAS kuleta fujo na maafa ya watu wasio na hatia mashariki ya kati. Kupanic kwao baada ya kuumbuliwa na tume ya jaji chande kunadhihirisha ufedhuli wao waziwazi kabisa kwa dunia nzima.

Napendekeza hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi ya AZAKI zilizoshiriki kikamilifu katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo, kutekeleza matukio ya kigaidi na hatimae kusababisha uharibifu na vifo vya watoto na wananchi wasio na hatia. Ikithibitika, AZAKI hizo zifutwe mara moja kwa mujibu wa sheria na wahusika kufungwa jela maisha.

Mungu Ibariki Tanzania.

Azaki wakisema ccm inakubalika mnakubaliana nao, ila wakisema mambo tofauti na mapenzi yenu mnanuna
 
Hivi unaandika kwa kusikiliza story za mtaani au news? Kwa taarifa tu wakati tukio hilo linatokea King Charles hakuwa nchini Marekani.
Gentleman,
ikiwa magaidi walimlenga rais Donald J.Trump na mkewe kwenye dhifa ya kitaifa huku wana usalama wa marekani wakiwa wameduwaa macho, Je, dhifa ya Mfalme Charles wa3 wa uingereza ilikua salama?

je,
wanausalama wa marekani wameshindwa kumlinda Rais wao na wananchi wao kwa ujumla?
 
Azaki wakisema ccm inakubalika mnakubaliana nao, ila wakisema mambo tofauti na mapenzi yenu mnanuna
AZAKI zina uhuru na haki ya kufanya shughuli zao kwa uhuru na bila shinikizo lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya nchi na si vinginevyo,
hakuna mapenzi kwenye kazi za kuwatumikia wananchi gentleman
 
Watanzania wamegoma kununua hicho kipeperushi/barua binafsi ya mama, andikeni script mpya
 
waeleze wadau kwa kina kifupi kidogo ili hatiame wafuata mkumbo wakuelewe vizuri gentleman
 
Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030.

Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia Oct.29.2025.

AZAKI pia, ndiyo iliyotoa vifaa vilivyotumiwa na magaidi kukata wapiga kura vidole, kupiga picha matukio ya kihalifu waliyokua wakiyafanya, kulipua vituo vya mafuta, makazi ya watu, ofisi za umma na baadhi ya nyumba za ibada maeneo mbalimbali nchini. AZAKI pia ndie mfadhili na msambazaji mkuu wa vyakula na maji kwaajili ya magaidi na majambazi waliokua wakifanya fujo na vurugu maeneo mbalimbali nchini.

Kwa kifupi,
AZAKI haina tofauti na Iran iliyokua ikiwafadhili magaidi wa HAMAS kuleta fujo na maafa ya watu wasio na hatia mashariki ya kati. Kupanic kwao baada ya kuumbuliwa na tume ya jaji chande kunadhihirisha ufedhuli wao waziwazi kabisa kwa dunia nzima.

Napendekeza hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi ya AZAKI zilizoshiriki kikamilifu katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo, kutekeleza matukio ya kigaidi na hatimae kusababisha uharibifu na vifo vya watoto na wananchi wasio na hatia. Ikithibitika, AZAKI hizo zifutwe mara moja kwa mujibu wa sheria na wahusika kufungwa jela maisha.

Mungu Ibariki Tanzania.
Weka evidence
 
Alafu namna unavyoongea unatukana vyombo vya usalama kwamba zimeshindwa kazi.
 
hakuna chombo cha usalama kinachoshindwa kuwalinda wananchi wake dhidi ya magaidi hususani wale waliofadhiliwa na AZAKI.

Rais Trump alinusurika kuuawa kwenye tukio la kigaidi majuzi tu, ile haina maana kwamba vyombo vya usalama vimeshindwa kumlinda Trump na wanachi wa marekani kwa ujumla.

vyombo vya usalama kote ulimwenguni vimeundwa ili kudhibiti na kukabiliana uhalifu na ugaidi kama ule uliopangwa na AZAKI nchini. hii inamaanisha uhalifu upo na utaendelea kuwepo. Hata hivyo ni lazima kujipanga vema kukabiliana nao na kuusambaratisha kama ambavyo magaidi waliofadhiliwa na AZAKI wamedhibitiwa na kusambaratishwa.
 
Nonsense kama hao waliweza kutekekeleza agenda yao ni kwamba wamewazidi vyombo vya usalama kwa akili.kwamba vyombo vya usalama vilishindwa kuwalinda watu wake.ila ukweli ni kwamba sababu ya yote haya ni CCM.
 
kwahiyo hao AZAKI wafadhili wa magaidi Tanzania ndio wapewe jukumu la usalama au la kuendelea kupanga namna ya kuangamiza watoto na wananchi wasio na hatia, right?

umefikiria sawasawa kweli kwenye hili gentleman?
 
kwahiyo hao AZAKI wafadhili wa magaidi ndio wapewe jukumu la usalama au la kuendelea kupanga namna ya kuangamiza watoto na wananchi wasio na hatia?

umefikiria sawasawa kweli gentleman?
Wale watoto waliuliwa na samia na jeshi lake ndo wanaomiliki silaha za moto.
 
Pamoja na kwamba sina ubata na Ripoti ya Chande wala sina shida na maafa yaliyotokea OKTOBA 29 ila niseme tu.Si kweli kwamba AZAKI ndo za kulaumiwa.Hata wewe,mimi,Serikali,Vyama vya upinzani n.k. ni vya kulaumiwa.
 
magaidi waliofunzwa vema namna ya kuua watoto wado, walitumia vitu vyenye ncha kali walivyopewa na wafadhili wao AZAKI kuangamiza malaika wa Mungu, DAH!:CouldYouNot::CouldYouNot:
 
Pamoja na kwamba sina ubata na Ripoti ya Chande wala sina shida na maafa yaliyotokea OKTOBA 29 ila niseme tu.Si kweli kwamba AZAKI ndo za kulaumiwa.Hata wewe,mimi,Serikali,Vyama vya upinzani n.k. ni vya kulaumiwa.
Gentleman,
kwa mujibu wa ripoti ya tume ya jaji Chande,
ni nani ametajwa kuhusika moja kwa moja katika mipango, uratibu, kutoa mafunzo, kutoa vifaa vya kazi, kufadhili na kutekeleza vurugu na maafa ya OCT.2025?

AZAKI haikutajwa na vijana wahusika waliotumiwa na AZAKI kwenye vurugu na maafa yale?
lakini pia vyama vya siasa havikutajwa katika kuchochea maafa yale?

je,
hao sio wafadhili wa ugaidi nchini?
 
Kumbe hawakua na hatia ?
Sasa mbona mlituambia wote walio kufa walikua vibaka ?
huenda vibaka wengi walipoteza maisha walipokua wanakabiliana na wafanyibiashara waliokua wakilina na kutetea mali zao kuporwa kindezindezi na vibaka useless na wafuata mkumbo.

lakini malaika wa Mungu wale watoto,
waliangamizwa na magaidi waliopewa mafunzi na AZAKI na kutumia vifaa maalumu vya kigaidi vyenye ncha kali walivyopewa na wafadhili wao AZAKI kwaajili ya kuua watoto dah.

Inafedhehesha sana aise
 
Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030.

Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia Oct.29.2025.

AZAKI pia, ndiyo iliyotoa vifaa vilivyotumiwa na magaidi kukata wapiga kura vidole, kupiga picha matukio ya kihalifu waliyokua wakiyafanya, kulipua vituo vya mafuta, makazi ya watu, ofisi za umma na baadhi ya nyumba za ibada maeneo mbalimbali nchini. AZAKI pia ndie mfadhili na msambazaji mkuu wa vyakula na maji kwaajili ya magaidi na majambazi waliokua wakifanya fujo na vurugu maeneo mbalimbali nchini.

Kwa kifupi,
AZAKI haina tofauti na Iran iliyokua ikiwafadhili magaidi wa HAMAS kuleta fujo na maafa ya watu wasio na hatia mashariki ya kati. Kupanic kwao baada ya kuumbuliwa na tume ya jaji chande kunadhihirisha ufedhuli wao waziwazi kabisa kwa dunia nzima.

Napendekeza hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi ya AZAKI zilizoshiriki kikamilifu katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo, kutekeleza matukio ya kigaidi na hatimae kusababisha uharibifu na vifo vya watoto na wananchi wasio na hatia. Ikithibitika, AZAKI hizo zifutwe mara moja kwa mujibu wa sheria na wahusika kufungwa jela maisha.

Mungu Ibariki Tanzania.
Msaidie Lucas mwashamba umpatie hata usekretary namana anahangaika sana kupita kiasi
 
jikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman,

ikiwa uko pointless kaa kimya tu na itapendeza zaidi.
 
Back
Top Bottom