Kakuuliza wakati hao ASAK wanauwa raia,polisi walikuwa wapi? Unajibu maelezo meeengi kwa swali ambalo hujaulizwa.Jeshi la polisi haliishi ndani ya ofisi za AZAKI gentleman,
AZAKI walipanga matukio yale ya kigaidi ndani ya ofisi zao kwa usiri na ustadi mkubwa sana, lakini pia baadhi ya mipango iliratibiwa katika majengo ya baadhi ya viongozi wa AZAKI na hivyo haikua rahisi kwa polisi kugundua uovu huo kwa haraka na kuisambaratisha maramoja.
ni kama vile wewe unavyomendea mke wa mtu tu kwa siri, mpaka hatimae unafanikiwa tamaa zako za mwili kwa wizi, ila ukinyakwa sasa, mbona utaisoma namba gentleman?.
AZAKI nao walifanya hivyo hivyo, okey?
huenda wewe ni mgeni sana katika masuala ya kigaidi gentleman, right?Kakuuliza wakati hao ASAK wanauwa raia,polisi walikuwa wapi? Unajibu maelezo meeengi kwa swali ambalo hujaulizwa.
AZAKI zina uhuru na haki ya kufanya shughuli zao kwa uhuru na bila shinikizo lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya nchi na si vinginevyo,
hakuna mapenzi kwenye kazi za kuwatumikia wananchi gentleman
Gentleman,Kuzingatia haki na sheria kwa inchi yetu ni kuongea mambo ambayo ccm wanapenda kuyasikia
Kinyume na hapo ni unavunja sheria
Hayo ni matukio tofauti. Kulipuliwa kwa WTC na maandamano ya tarehe 29 ni mambo mawili tofauti sababu ugaidi wa sept.11. Ulikuwa wakushtukiza yaan nitukio la dk.kadhaa tu siyo mfululizo wa mashambulizi kwamba polisi na magaidi wanashambuliana. Ila Oct 29. Mauaji yalidumu kwa karibu siku 3-4. Au shambulizi la WTC lilidumu siku ngapi? Ndo maana nimekwambia umemjibu jamaa tofauti maana yake kwa hizo siku tatu za mauaji Polisi bado washindwe kujua magaidi ni wakinani hadi wanaenda kuuwa watoto na wanawake majumbani kwao?huenda wewe ni mgeni sana katika masuala ya kigaidi gentleman, right?
kwani matukio ya kigaidi ya kulipua WTC pale marekani na ubalozi wa Marekani hapa Tanzania kwa wakati moja unadhani polisi hawakuwepo?
kwani wewe ukiwa unamendea mke wa mtu, mume wake anakua wapi?
hivyo ndivyomatukio ya kigaidi hupangwa na kutekelezwa ulimwenguni kote gentleman.
hata juzi tu,
rais wa marekani amenusurika kuuawa katika tukio la kigaidi katika dhifa ya kitaifa,
unadhani polisi wa marekani hawakuwepo tukio hilo linavyopangwa hadi kutekelezwa?
Kwahiyo intelijensia ya nchi hii Haina uwezo wa kuja taarifa muhimu kama hizo mpaka zije zifichuliwe na tume tena ambayo Haina hata wanausalama weledi.Jeshi la polisi haliishi ndani ya ofisi za AZAKI gentleman,
AZAKI walipanga matukio yale ya kigaidi ndani ya ofisi zao kwa usiri na ustadi mkubwa sana, lakini pia baadhi ya mipango iliratibiwa katika majengo ya baadhi ya viongozi wa AZAKI na hivyo haikua rahisi kwa polisi kugundua uovu huo kwa haraka na kuisambaratisha maramoja.
ni kama vile wewe unavyomendea mke wa mtu tu kwa siri, mpaka hatimae unafanikiwa tamaa zako za mwili kwa wizi, ila ukinyakwa sasa, mbona utaisoma namba gentleman?.
AZAKI nao walifanya hivyo hivyo, okey?
Gentleman,
huo ni mtazamo wako na haki yako ya kutoa maoni,
lakini kamwe haiondoi ukweli kwamba nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya kikatiba na sheria na hakuna kitu cha kuiweka misingi hiyo pembeni, bali kuitekeleza kwa maneno na matendo, vinginevyo utawajibishwa kwa mujibu wa sheria utakazokiuka.
AZAKI kupanga, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi ni kinyume na katiba lakini pia sheria za nchi yetu.
Lazima sheria ichukue mkondo wake ipasvyo kwenye hili.
suala sio intelijensia gentleman hasa kwenye masuala ya kigaidi duniani, masuala haya hayajawahi kua na intelijensia, ndio maana hata marais wa nchi huuawa au kupinduliwa katika matukio ya kigaidi.Kwahiyo intelijensia ya nchi hii Haina uwezo wa kuja taarifa muhimu kama hizo mpaka zije zifichuliwe na tume tena ambayo Haina hata wanausalama weledi.
Kama ni hivo, Je usalama wa nchi hii uko mashakani kiasi gani?
hakuna uonevu wala manyanayaso kwenye taifa letu huru gentleman,Mnawaonea Tu
Hawana hiyo ela ya kufadhiri mapinduzi ya inchi
And I think kama watu wanataka kupindua inchi Kwa kutumia kuhonga watu ela basi inchi ingekuwa imeshapinduliwa,
Maisha ni magumu, hakuna matumaini tena, na viongozi wote wanaishi maisha ya Anasa
Tena anasa za wazi wazi,
Tunakunywa nao bar tunaona, nyumba zao zinajengwa na wabeba zege maskini wanaona na wanasema
Gentleman ongea na viongozi wenzako wa huko kwenye chama na serikali, wawajali watu wa Hali ya chini, maskini, Mambo yote hayo ya kuhisi kupinduana hutayasikia trust me
Tujifunze Kwa serikali ya Zanzibar inavyojali watu wake wa chini
Nenda kaone mwendokasi ya Zanzibar,
Nenda kaone sehemu zilizotengwa za vijana kujipatia pesa,
Nenda kaone masoko yao,
Hakuna soko la tope kama haya ya kwetu
Hakuna mwendokasi mbovu kama za kwetu
Hawezi kumkuta Waziri au mkuu wa mkoa Zanzibar anafanya kufuru ya pesa, na mamlaka, njoo hapa kwetu sasa
Ndio maana Zanzibar kumetulia
Wanasikiliza hoja za watu ambayo wanamtazamo tofauti ndio maana wizara ya utalii IPO chini ya upinzani
Unazidi kuwadhalilisha Jeshi lako na Teeth wenu ,inakuwaje wapange ,wagawe fedha bila kugundulika? Yaani Chande mbaye hajawahi kupita hata MGAMBO ameweza kubaini waliopanga mapinduzi na waliogawa pesa(By Madeleka)Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030.
siko hapa kumuaibisha au kumfurahisha yeyeote gentleman,Unazidi kuwadhalilisha Jeshi lako na Teeth wenu ,inakuwaje wapange ,wagawe fedha bila kugundulika? Yaani Chande mbaye hajawahi kupita hata MGAMBO ameweza kubaini waliopanga mapinduzi na waliogawa pesa(By Madeleka)
Wachukulieni hatua mnashindwa nini?hiyo sio barua gentleman,
ni maelezo mafupi juu ya AZAKI kupanga, kutoa mafunzo, kufadhili magaidi na matukio ya kigaidi yaliyosababisha uharibifu na maafa mabaya na ya kusikitisha sana ya watoto na wananchi wasio na hatia nchini Tanzania.
Kama ni kweli basi IGP , CDF na DGIS wafukuzwe kazi mara moja kwa kutokubaini hayo mambo na kuyazuia yasitokee mpaka wakasababisha maelfu ya watu kuuawa.siko hapa kumuaibisha au kumfurahisha yeyeote gentleman,
wajibu wangu siku zote ni kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu na si vinginevyo.
ni bayana kwamba,
AZAKI ilipanga, iliratibu, ilifadhili na kutekeleza vurugu na maafa ya oct.29.2025.
HUO NDIO UKWELI GENTLEMAN
Ripoti ya Chande imetaja vyanzo 5 vya machafuko tusitoke hapo serikali i focus hapo mengine yatajiondoa yenyeweAZAKI zilizohusika na kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi yaliyosababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu nchini, lakini pia zilizohusika na maafa ya watoto na wananchi wasio na hatia zimebainishwa wazi katika ripoti ya tume ya jaji chande gentleman,
huna haya ya kupanic na kupotosha wadau wa JF, wala kupindisha au kujaribu kuhamisha mjadala mahususi mezani,
na kabisa huna haja ya kuweweseka ikiwa hata Asasi unayoifanyia kazi useless humu JF imehusika. Lazima ifikie mahali kushikishana adabu kwa mujibu wa sheria za nchi.
sasa gentleman,
AZAKI zilizotajwa na tume,
zinatofauti gani na Irani kufadhili magaidi wa Hamas huko mashariki ya kati?
halafu,
JF inafanya kazi kwa kuzingatia kanuni, taratibu na sheria ilizoziweka na sio kwa mihemko binafsi nonsense dhidi ya nyuzi za wadau wake. JF haimvumilii hata kwa sekunde moja mkiuka utaratibu wa jukwaa, so acha kiherehere na kimbelembele useless jukwaani na kwenye kazi za watu gentleman,
Nikwambie kitu.Sikufahamu,hunifahamu.Azaki ni Asasi za Kiraia.Ni wadau wa muhimu sana wa maendeleo kama zilivyo media n.k.Gentleman,
kwa mujibu wa ripoti ya tume ya jaji Chande,
ni nani ametajwa kuhusika moja kwa moja katika mipango, uratibu, kutoa mafunzo, kutoa vifaa vya kazi, kufadhili na kutekeleza vurugu na maafa ya OCT.2025?
AZAKI haikutajwa na vijana wahusika waliotumiwa na AZAKI kwenye vurugu na maafa yale?
lakini pia vyama vya siasa havikutajwa katika kuchochea maafa yale?
je,
hao sio wafadhili wa ugaidi nchini?
Wewe jamaa inabidi nikuache tu uendelee na fikra zako.Kwamba unafikiri kwamba kama wewe ni shoga unahitaji Pesa Azaki iliuachie hicho kidude chako wakati kinawasha wakati wote?Tusidanganyane banaSote ni mashahidi jinsi ambavyo AZAKI zilivyokua zinacelebrate na kufanya projections za vifo vya waTanzania kuhusu ghasia za Oct.29.2025, kabala ya tume ya jaji chande kuingia kazini na kuja na ukweli mtupu baada ya uchunguzi wa kina. Walilenga kabisa na kufadhili vijana wa ndani na nje ya nchi ili kuua wananchi zaidi ya elfu10.
Kutokufikia lengo hilo kumezikera sana AZAKI nyingi na hivyo huenda zisipate pesa nyingi kama walivyotarajia.
Dhumuni kuu ya lengo hilo la AZAKI,
ni kuichafua serikali ya Tanzania na pengine kuiangusha mamlaka hiyo ya wananchi, ili hatimae wao AZAKI kuongezewa fungu kubwa zaidi la ufadhili wa fedha kutoka kwa mabwenyenye ya magharibi, ili kupambana na mamlaka za serikali hasa zinazopinga masuala yaliyo kinyume na maadili ya nchi yetu, kama vile ndoa za jinsia moja, ushoga na n.k, vitu ambavyo kwenye nchi nyingi za wafadhili wa AZAKI, hizo ni haki za msingi ambazo wanatamani ziheshimiwe na kutumika na hata Tanzania.
Sote ni mashahidi,
AZAKI walipanga na kufadhili matukio ya ghasia ili walau vitokee vifo zaidi ya elfu10 kote nchini.
Vifo518 vilivyobainishwa kwenye tume ya jaji chande, vimewavunja moyo sana AZAKI na hivyo kufanya lengo lao kutokufanikiwa.
Napendekeza kufutwa kwa AZAKI zote nchini, kupitia upya sheria ya AZAKI na hatimae kuzisajili upya.
Mungu Ibariki Tanzania.
Unajua nyie watu ni wajinga sana, mnachokifanya ni kuficha kichwa kwenye mchanga wakati kiwiliwili chote kipo wazi.. hakuna mtu aliemchochea mtanzania hata mmoja isipokuwa watu walichoshwa na ufisadi,rushwa,utekaji,ManyanyasoAsasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030.
Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia Oct.29.2025.
AZAKI pia, ndiyo iliyotoa vifaa vilivyotumiwa na magaidi kukata wapiga kura vidole, kupiga picha matukio ya kihalifu waliyokua wakiyafanya, kulipua vituo vya mafuta, makazi ya watu, ofisi za umma na baadhi ya nyumba za ibada maeneo mbalimbali nchini. AZAKI pia ndie mfadhili na msambazaji mkuu wa vyakula na maji kwaajili ya magaidi na majambazi waliokua wakifanya fujo na vurugu maeneo mbalimbali nchini.
Kwa kifupi,
AZAKI haina tofauti na Iran iliyokua ikiwafadhili magaidi wa HAMAS kuleta fujo na maafa ya watu wasio na hatia mashariki ya kati. Kupanic kwao baada ya kuumbuliwa na tume ya jaji chande kunadhihirisha ufedhuli wao waziwazi kabisa kwa dunia nzima.
Napendekeza hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi ya AZAKI zilizoshiriki kikamilifu katika kupanga, kuratibu, kutoa mafunzo, kutekeleza matukio ya kigaidi na hatimae kusababisha uharibifu na vifo vya watoto na wananchi wasio na hatia. Ikithibitika, AZAKI hizo zifutwe mara moja kwa mujibu wa sheria na wahusika kufungwa jela maisha.
Mungu Ibariki Tanzania.