Kwa mimi niliyetumia DSTV kwa miaka 15 ntakuambia Dstv ni bora sana. Nimewahi kuwa na startimes niliipenda ila niliacha kwa sababu sikutaka kulipia ving'amuzi viwili. Ubora wa kitu unategemea manufaa na mapendezi binafsi.Kuna muda mnamkandia kuwa ana camera mbofu, channel zake hazina picha kiwango cha HD. Kuna muda DSTV anasifiwa kweli kweli. Utasikia wengine wanasema kama azam asingekuwa na kibali cha kuonyesha ligi yetu, ningetupa king'amuzi. Sasa hapa wewe unasema kuwa kama Azam akipata kibali cha kuonyesha epl na uefa, DSTV kwisha.
Mnatuchanganya sisi wenye startimes mjue. Hebu kuweni na msimamo, azam na dstv nani mkali na sisi tuhamie huko.
Wewe kama unatangaza biashara ya Azam kuwa huru mkuu lakini huwezi sema DSTV inaangaliwa na wadada wa uswazi. Hapa si kweli. Uswazi wanaangalia Azam na Startimes kwa sababu ya hizo tamthiliya.Wakiipata tu DsTV chali
Hapa naungana na wewe DsTV ilikua zamani ila pia wanaipenda madada mapashunaku wa uswazi sababu movie za kibongo Cinema Zetu ndio Channel yao pendwa
Kuna mambo ya karibuni sijakubaliana na mihemuko yake ila kwenye hili unamuonea . Hakuna VAR iliyoletwa na Karia. Zile VAR ni za CAF kwa ajili ya mashindano ya kimataifa tu.TFF hakuna kitu pale mpaaka Walace Karia akitoka kwanza hakuna anachofanya kaleta VAR limekaa tu linapigwa na mavumbi siku ile kaviiimba eti tumeletewa VAR haya kiko wapi?
Namzingua tu mkuu. DSTV kwa ving'amuzi vya bongo iko kwenye level yake ya kipekee. Nimeanza kuitumia toka 2013 japo mimi si mpenzi wa mpira channel zangu pendwa ni 171 idx, 181 na 186 discovery na history channel. Pia 406 aljazeera hasa documentary zao na true crime. Lakini quaity ya picha mpangilio wake uko pia.Kwa mimi niliyetumia DSTV kwa miaka 15 ntakuambia Dstv ni bora sana. Nimewahi kuwa na startimes niliipenda ila niliacha kwa sababu sikutaka kulipia ving'amuzi viwili. Ubora wa kitu unategemea manufaa na mapendezi binafsi.
Ninajua hilo ila wadada wa uswazi wengi wame opt DSTV sababu ya kuwaona wakina masanja ndio Azam wakamchukua Mkwere awapigie promo maana ukitaka upige hela Nchi wakamate wadada wa uswahilini huko wanaocheza michezo ndio michezo mpaka michafuWewe kama unatangaza biashara ya Azam kuwa huru mkuu lakini huwezi sema DSTV inaangaliwa na wadada wa uswazi. Hapa si kweli. Uswazi wanaangalia Azam na Startimes kwa sababu ya hizo tamthiliya.
Kuna channel nyingi za kuanglia movie DSTV ni pesa yako tu.
Kuangalia Waturuki na chapati itakuwa mwisho.Vipi dstv akisecure exclusive rights za kuonesha ligi yetu? Unahisi nani atakuwa na muda wa kuwatizama waturuki!
Kuna Channel zipo kote Azam zipo na DSTV zipo, mfano kuna ile Channel ya NatGeo ipo kote huikuti Startimes kuna Channel ina vipindi vya yule mzungu wa SA anaekamata nyoka esp. Black Mamba ipo kote hadi Startimes ipo sema nini DSTV ina Channel nyiiiingi sana yaan za michezo ndio usipime kuna Channel ni michezo ya Tennis tupu, nyingine humo ni Mbio za Magari tu, nyingine ni Mbio za Baiskel tu, nyingine ni Ndondi tu, nyingine ni Basket Ball tu, kwa hio machaguo ni mengi tofauti na AzamNamzingua tu mkuu. DSTV kwa ving'amuzi vya bongo iko kwenye level yake ya kipekee. Nimeanza kuitumia toka 2013 japo mimi si mpenzi wa mpira channel zangu pendwa ni 171 idx, 181 na 186 discovery na history channel. Pia 406 aljazeera hasa documentary zao na true crime. Lakini quaity ya picha mpangilio wake uko pia.
Kwa sasa mimi si mpenzi wa TV nailipia kwa sababu tu ya familia kila nachotaka nakipata mtandaoni kuliko kusubiria kipindi kwa TV.
Mabeki 3 watakua wanaangalia maana ndio wanapenda kuangalia, just imagine mezani kuna ving'amuzi vya Azam, DSTV, Startimes, Zuku, Canal+ vyote vipo mezani ila beki 3 ana opt kuangalia Azam ukiuliza ni Cheka Tu na hizo za Waturuki wabeba Mwewe wapiga mapaga lakini pia kumbuka Azam ina Channels nyingi za Dini za Ndani tofauti na DSTVKuangalia Waturuki na chapati itakuwa mwisho.
Utetezi kibao production mara broadcasting hivi ushawahi kumiliki kisimbuzi Cha DStv na ukalipia kifurushi Cha super nadhani huwezi kuja kuandika huu utumbo kuisifia hiyo takataka Yako unayoimilikiYah upo sahihi mkuu, watu wakiangalia mechi kwenye supersports/dstv wanadhani wao ndio wanaofanya production za hizo mechi kumbe nao pia wanapewa feed (video) kama ambavyo azam anapewa feed (video) za mechi za Laliga na Bundesliga.
Mfano EPL kuna makampuni kama matano hv ndo yanafanya production ikiwemo TNT, SKY SPORTS n.k ila Supersport/dstv anaonyesha tuu na hakuna mechi hata moja aliwahi kufanya production.
Wabongo wengi wanaichukulia simple azam TV kisa tuu wanaonyesha tamthilia, lkn azam TV n kampuni kubwa grade one kwenye rates za CAF, na ndio mana mechi zote za CAF zinazochezwa Tanzania zinafanyiwa production na azam TV.
Kwenye ufunguzi wa AFL ile mpaka rais wa FIFA alikuja Tz, ile production imefanywa na azam TV japokuwa kulikuwa na baadhi ya watu kutoka kwenye kampuni iliyokuwa na haki ya kufanya production ya mechi za AFL, pia official broadcaster ilikuwa ni kampuni kutoka France, ila production nzima ilifanywa na azam tv na mechi zote za CAF zinazofanyikia Tz bc azam ndo anafanya production.
Sasa mbongo kisa anaona tamthilia ambazo yeye hazipendi bc anaiona azam ni kituko.
Yah idx hata azam ipi, netgeo ipo, kuna channel fulani wanaonyesha nyumba nayo ipo... personally kwa sasa nalipia king'amuzi kwa sababu ya familia otherwise mimi si mpenzi wa tv kwa sababu kila nachokitaka nakipata mtandaoni so nikihisi kutazama kitu ni youtube mara nyingi. hata aljazeera huwa naistream kwenye laptopKuna Channel zipo kote Azam zipo na DSTV zipo, mfano kuna ile Channel ya NatGeo ipo kote huikuti Startimes kuna Channel ina vipindi vya yule mzungu wa SA anaekamata nyoka esp. Black Mamba ipo kote hadi Startimes ipo sema nini DSTV ina Channel nyiiiingi sana yaan za michezo ndio usipime kuna Channel ni michezo ya Tennis tupu, nyingine humo ni Mbio za Magari tu, nyingine ni Mbio za Baiskel tu, nyingine ni Ndondi tu, nyingine ni Basket Ball tu, kwa hio machaguo ni mengi tofauti na Azam
Mimi na Tennis kwa hio nilikua nikiwasha tu naikimbilia Channel yangu ya Tennis
Kweli kabisaYah idx hata azam ipi, netgeo ipo, kuna channel fulani wanaonyesha nyumba nayo ipo... personally kwa sasa nalipia king'amuzi kwa sababu ya familia otherwise mimi si mpenzi wa tv kwa sababu kila nachokitaka nakipata mtandaoni so nikihisi kutazama kitu ni youtube mara nyingi. hata aljazeera huwa naistream kwenye laptop
hata sasa wameteka soko ukipita kati ya nyumba kumi nyumba 6+ zina azam tvItawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.
Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Kuna mtangazaji katangaza jana mechi ya barcel0na yaan kazingua hata kutaja baadhi ya cv za wachezaji hataki b0ra mzingaLakini mechi zisitangazwe kwa kiswahili na waswahili kina ngoda sijui nani nani wazingua Sana visauti vyako wanaharibu mpira wanataja majina Kama Mbappe Lewandowisk kwa kiluga yaani kero ukingalia la liga jau kinoma! wakae kimya tu mpira utangazwe km ulivo na lugha yake
Tennis inanivutia lakn nikiangalia nashindwa kuelewa namna ya kuhesabu p0intsKuna Channel zipo kote Azam zipo na DSTV zipo, mfano kuna ile Channel ya NatGeo ipo kote huikuti Startimes kuna Channel ina vipindi vya yule mzungu wa SA anaekamata nyoka esp. Black Mamba ipo kote hadi Startimes ipo sema nini DSTV ina Channel nyiiiingi sana yaan za michezo ndio usipime kuna Channel ni michezo ya Tennis tupu, nyingine humo ni Mbio za Magari tu, nyingine ni Mbio za Baiskel tu, nyingine ni Ndondi tu, nyingine ni Basket Ball tu, kwa hio machaguo ni mengi tofauti na Azam
Mimi na Tennis kwa hio nilikua nikiwasha tu naikimbilia Channel yangu ya Tennis
Zama google mkuuTennis inanivutia lakn nikiangalia nashindwa kuelewa namna ya kuhesabu p0ints
Kwa sisi tunao beti tunajua umuhimu wa DSTVKuangalia Waturuki na chapati itakuwa mwisho.
Kwa sisi tunao beti tunajua umuhimu wa DSTV.Kuangalia Waturuki na chapati itakuwa mwisho.
Azam takataka kabisa quality na mawimbi yakitanda kidogo hamna videoAzam TV kupitia channel yake ya Utv, kila jumamosi wanaonyesha mechi moja ya EPL, haya nipeni utofauti wa hiyo mechi ikionyeshwa Supersport VS azam
Unafikiri ? Unafikiri mfuko wa mtu? SeriouslyNafikiri Wanayo mkuu ila wanaenda kimkakati