myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hawawezi...Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.
Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata
muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Mkuu kwani wakipata kibali cha kuonyesha ligi kuu ya Epl je watakua live na Camera zao uwanjani au watakua wana kopi kwenye vituo vingine mfano Supersport?Ligi Kuu tu hapa imewashinda. EPl wataweza
Sasa mm niwatetee azam kwan n kampuni yangu au? Mm nazungumzia data afu ww unskuja na taarabu zako.Utetezi kibao production mara broadcasting hivi ushawahi kumiliki kisimbuzi Cha DStv na ukalipia kifurushi Cha super nadhani huwezi kuja kuandika huu utumbo kuisifia hiyo takataka Yako unayoimiliki
Hawawezi kupata, unadhani wao hawataki? na sio wao tu, Multichoice/DSTV wanalipa mpunga mkubwa sana kupata hiyo haki.Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.
Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Ndugu, wabongo ukiwaambia kuwa Supersport hawafanyi production ya mechi za Ulaya ila nao wanapewa video kama ambavyo azam anapewa video za Laliga na Bundesliga hawawezi kukuelewa 😂Mkuu kwani wakipata kibali cha kuonyesha ligi kuu ya Epl je watakua live na Camera zao uwanjani au watakua wana kopi kwenye vituo vingine mfano Supersport?
Uswazi tokalini wakatumia Dstv ?Wakiipata tu DsTV chali
Hapa naungana na wewe DsTV ilikua zamani ila pia wanaipenda madada mapashunaku wa uswazi sababu movie za kibongo Cinema Zetu ndio Channel yao pendwa
Azam anaonyesha epl moja kila wiki, wabongo Embu fatilieni acheni ubishi kwenye vitu msivyojua mana kuona mmeshindwa.Hawawezi kupata, unadhani wao hawataki? na sio wao tu, Multichoice/DSTV wanalipa mpunga mkubwa sana kupata hiyo haki.
Alafu azam Tunaipenda watu wengi hapa tanzania Dstv ni kwa wale wapiga domo wa eplSasa mm niwaletee azam kwan n kampuni yangu au? Mm nazungumzia data afu ww unskuja na taarabu zako.
Ngoja nikupe data nyngn, pamoja na hizo kelele zenu za dstv vs azam
1: Azam ndo alianza kuonyesha ligi kwa pesa ndefu kuzidi huyo dstv, pia dstv alikuwa anaonyesha mechi za simba na Yanga tuu ila azam akaanza kuonyesha zote.
2: pamoja na hizo kelele zenu, ila bado azam anaingiza pesa ndefu kuliko huyo dstv kwa hapa bongo.
Sasa ww endelea kuleta porojo ila Mm nakupa data na kwa taarifa yako Mm natumia dstv kwa sababu Mm sio mpenzi wa ligi ya Bongo hvy siwezi kuwa na azam
Nchi za Kiarabu hakuna DstvNi Duniani kote mzee huwenda ndio maana wana nguvu hata ya kuwa na kila unachotaka. Hizo za wakubwa hata hamna.
Ukitaka kufahamu kuhusu HD basi Dstv ndio mfanowe
KWA KAMPUNI YA AZAM HIYO NI PESA NDOGO SANA, KAMA HATAPATA LESENI ATAKUWA KANYIMWA LAKINI SIO KWAMBA ATAKOSA FEDHAHela ya kuipata hiyo leseni ya kuonesha hizo mechi kutoka kwenye mashindano, na ligi ghali kabisa duniani; wanayo?
Kwa hapa bongo azam anapiga pesa mno kuzidi dstv, na bado anaonyesha epl kila jumamosi tena quality nzuri sana ila wabongo kwa ujuaji bc wao n kubisha tuu kisa azam anaonyesha sinema zetu bc wao n kuwachukulia poa azamAlafu azam Tunaipenda watu wengi hapa tanzania Dstv ni kwa wale wapiga domo wa epl
Kwani anaitafuta hiyo leseni?Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.
Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali ila hadimu na kutojirudia.
Duniani kote ipi ww babu, USA tuu hapo huyo dstv ni sawa na zuku huku Bongo.Ni Duniani kote mzee huwenda ndio maana wana nguvu hata ya kuwa na kila unachotaka. Hizo za wakubwa hata hamna.
Ukitaka kufahamu kuhusu HD basi Dstv ndio mfanowe
Gazeti refu ila Mimi nakuambia Kwa ufupi kama umeweka Azam kwakp hiyo ni takataka tu mbele ya dstv ata usemajeSasa mm niwatetee azam kwan n kampuni yangu au? Mm nazungumzia data afu ww unskuja na taarabu zako.
Ngoja nikupe data nyngn, pamoja na hizo kelele zenu za dstv vs azam
1: Azam ndo alianza kuonyesha ligi kwa pesa ndefu kuzidi huyo dstv, pia dstv alikuwa anaonyesha mechi za simba na Yanga tuu ila azam akaanza kuonyesha zote.
2: pamoja na hizo kelele zenu, ila bado azam anaingiza pesa ndefu kuliko huyo dstv kwa hapa bongo.
Sasa ww endelea kuleta porojo ila Mm nakupa data na kwa taarifa yako Mm natumia dstv kwa sababu Mm sio mpenzi wa ligi ya Bongo hvy siwezi kuwa na azam
Mzee DStv huwezi fananisha na hup uchafu wako ulioununua kutoka Azam naona unaitetea sana kisa umenunua azam 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duniani kote ipi ww babu, USA tuu hapo huyo dstv ni sawa na zuku huku Bongo.
Dstv ina soko kubwa Africa tuu ila huko mbele ni wa kawaida sana kama zuku tuu.
Wabongo hamfatilii mambo ila mnaongoza kwa ubishi.
Kwa sasa azam **** LALIGA,SERIA A,BUNDESLIGA,epl kila jumam0c huko mbeleni tutegemee makubwaKwa hapa bongo azam anapiga pesa mno kuzidi dstv, na bado anaonyesha epl kila jumamosi tena quality nzuri sana ila wabongo kwa ujuaji bc wao n kubisha tuu kisa azam anaonyesha sinema zetu bc wao n kuwachukulia poa azam
Na hapa kwa Waturuki ndipo nami siwapendei hawa jamaa.Vipi dstv akisecure exclusive rights za kuonesha ligi yetu? Unahisi nani atakuwa na muda wa kuwatizama waturuki!
Kumbe hujasoma nilichokiandika 😂 hatahvy ulichoandika hapo tayari nshakujibu kwenye hy comment.Gazeti refi ila Mimi nakuambia Kwa ufupi kama umeweka Azam kwakp hiyo ni takataka tu mbele ya dstv ata usemaje
Sasa mbona kuna utofauti mkubwa sana ukiangalia mfano Mechi ya Man city na Liverpool kupitia Dstv na ukiangalia mechi hiuo hiyo kupitia Azam, Dstv inaoneka vizur picha nzuri sana, We jaribu kufunga TV mbili na TV moja funga Azam na nyingine funga Dstv na zote weka mechi moja live utaona utofauti kwenye picha ya UwanjaniSerious? Basi waambie hivi.
hao DSTV wanapokuwa wanaonyesha mfano UEFA au EPL haimaanishi wamepeleka camera zao ulaya kwenda ku record (produce) hiyo match ndio sisi wateja wao tuone bali ni kwamba wao wananunua matangazo kutoka TNT sports,BBC au Amazon
Sasa waulize hao wanaosema azam hawezi kuonyesha epl, kama wanajua kuwa azam anaonyesha epl, lazima watakataa au watasema hawajui 😂Kwa sasa azam **** LALIGA,SERIA A,BUNDESLIGA,epl kila jumam0c huko mbeleni tutegemee makubwa