shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Asante sana kiongoziShuka chini saluti kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kiongoziShuka chini saluti kwako
Ni sahihi. Azam anaweza kuwatoa hao japo mwaka jana alitia aibu sana.Msimu uliopita mbona alipangwa na Waarabu na bado alipita!! Ukiwa na timu nzuri, hakuna kinachoshindikana.
Wamebebwa na Karia na Mangushi Wacha yatoleweIla bora hata ya Azam walau nategemea wataonesha ushindani na pia kujitutumua. Coastal union ni 🚮 ya sumu ya kutupa mbali kabisa.
Hawana kabisa sifa ya kushiriki kombe la shirikisho.
Hata Simba na Yanga zilianza hivyo.Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua
Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu haswa, wana uchumi mzuri, wana wachezaji wakubwa hasa.
Kuna yule Mghana na dogo Fulani beki ni wachezaji wazuri mno,
Azam wanaanzia nyumba ambapo hawana nguvu ya mashabiki hapo ARR watakuwa comfortable kupiga kandanda, na baadae wanatenda kumalizana Rwanda hapa Azam wanatoboa vipI?
Wakitoka hapo wanatenda kukutana na Pyramid matajiri wa Misri team ya Mayele, hapo ndo ya makundi wataisikia kwenye redio
Azam nawapa pole mapema
Halafu ile timu waliocheza nayo ni timu ya hovyo tu.Nimecheki game ya coastal aise yani wamecheza utumbo kabisa.
Kwanza hawana stamina wanaangukaanguka hovyo uwanjani .game plan mbovu huoni wakitafuta goli japo kunamuda kipindi cha pili walitulia kidogo wakaanza kutafuta goli ila sasa wakajisahau wakapigwa cha tatu.
Kiufupi hao wameenda kuliaibisha taifa hakuna lolote wao warudi waendelee kumkamia simba tu .
Gor Mahia ndio wana hali ngumu zaidi.Mechi ya APR ni nyepesi kwa Azam, kwa Pyramids wakikaza wanafuzu
Azam atawapiga APR na Pyramid, zote hazitishi kivile.Azam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua
Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu haswa, wana uchumi mzuri, wana wachezaji wakubwa hasa.
Kuna yule Mghana na dogo Fulani beki ni wachezaji wazuri mno,
Azam wanaanzia nyumba ambapo hawana nguvu ya mashabiki hapo ARR watakuwa comfortable kupiga kandanda, na baadae wanatenda kumalizana Rwanda hapa Azam wanatoboa vipI?
Wakitoka hapo wanatenda kukutana na Pyramid matajiri wa Misri team ya Mayele, hapo ndo ya makundi wataisikia kwenye redio
Azam nawapa pole mapema
Hahahahaha we Pyramid sio watu wazuri ,sasa hv wako motoBinafsi sioni kama piramidy wanatisha kihivyo! Japo sio shabiki wa Azam
Tatizo la Azam hawajawahi kuwa serious wakiwa serious wanatoboa vizuri tu
Hahahahaha hiyo Azam inatisha ?Azam atawapiga APR na Pyramid, zote hazitishi kivile.
Kama vipi njooni nyie mnawasakizia Pyramid kwani wao hawaogopi?Nilitamani Utopolo ipitie njia hii
Mosie utajibea chama ja kaya??Ila bora hata ya Azam walau nategemea wataonesha ushindani na pia kujitutumua. Coastal union ni 🚮 ya sumu ya kutupa mbali kabisa.
Hawana kabisa sifa ya kushiriki kombe la shirikisho.
Mkuu umekomalia sana Azam kutolewa na APR, sijui kisa Azam kufungwa na Yanga au vipi ndio uwabeze Azam. Azam anapita kwa APR labda iwe APR nyingine tofauti na ile niliyoiona ikicheza na SimbaAzam atakwama Kwa APR huko pyramids ni mbali
Sasa ili wawe walubwa wanapaswa kuwaomdoa hao wapinzaniAzam wana team nzuri, wamemsajili vizuri sana, nilidhani watafuzu hizi hatua ila kila nikiangalia naona anaangukia pua
Azam hatua ya awali wamepangwa na mbambe APR ya Rwanda, hii ni team ngumu haswa, wana uchumi mzuri, wana wachezaji wakubwa hasa.
Kuna yule Mghana na dogo Fulani beki ni wachezaji wazuri mno,
Azam wanaanzia nyumba ambapo hawana nguvu ya mashabiki hapo ARR watakuwa comfortable kupiga kandanda, na baadae wanatenda kumalizana Rwanda hapa Azam wanatoboa vipI?
Wakitoka hapo wanatenda kukutana na Pyramid matajiri wa Misri team ya Mayele, hapo ndo ya makundi wataisikia kwenye redio
Azam nawapa pole mapema
Wewe unachukulia Simba poaMkuu umekomalia sana Azam kutolewa na APR, sijui kisa Azam kufungwa na Yanga au vipi ndio uwabeze Azam. Azam anapita kwa APR labda iwe APR nyingine tofauti na ile niliyoiona ikicheza na Simba
Coastal Union ni kama wamelazimishwa tu kushiriki hayo mashindano.Nimecheki game ya coastal aise yani wamecheza utumbo kabisa.
Kwanza hawana stamina wanaangukaanguka hovyo uwanjani .game plan mbovu huoni wakitafuta goli japo kunamuda kipindi cha pili walitulia kidogo wakaanza kutafuta goli ila sasa wakajisahau wakapigwa cha tatu.
Kiufupi hao wameenda kuliaibisha taifa hakuna lolote wao warudi waendelee kumkamia simba tu .
Hivi Yanga akiwatoa Vitalo, atakutana na nani?Sema tu Azam wana wakati mgumu. Maana hata ikitokea wakawatoa hao APR kwenye hii hatua ya awali! Bado hatua inayofuata wanakutana na Pyramid!! Tabu gani hii! 😩