Azam, Azam Udini utawaharibia

Azam, Azam Udini utawaharibia

Ndg Gulwa uwezo wako kwenye masuala ya kidini na kiimani bado ni mdogo sana!
Kuna vingi huvijui!
Uunijui, mimi ni mbobevu katika mambo hayo ndio maana siamini katika primitive mythology za baadhi ya dini
 
Kama huwezi kusoma kwanini uwe msomaji?
Hata hivyo kabla ya kusoma habari huwa inapitiwa kwanza. Majina yote yenye utata kama ya timu mfano Midtjylland huwa tunauliza wataalamu wa angle hiyo ili tusibabaike tukiwa hewani.

kushindwa kutamka kwa ufasaha ni kosa na uzembe mkubwa.
 
Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Unajua maana ya "yehuw"
 
Azam sidhani kama wana udini maana manguli wake wengi wa utangazaji na wakuu wa vitengo maalum wengi ni wagalatia. Tusipende sana kuzusha.
Upo sahihi,
Kina Peter kahemele
 
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Kwani watangazaji wanaokotwa mtaani?
 
Uwezo wako kwenye masuala ya kidini na kiimani ni mdogo sana.
Hayo ni maneno ya Kiarabu si ya Kiislamu. Na wapo wakristo wengi tu wanayasema na kuyaandika!

Tofautisheni lugha, imani na dini!
Wakiristo wengi na si wote!!..Sasa kwa nini unalazimisha msoma taarifa ya habari muislam aweze kutamka kigango Cha imakulata waamini wa kipaimara masadukayo!?
 
Kardinali pengo ni muandishi wa habari mkuu??..

Halafu hayo maneno mbona mepesi kama umeishi kwenye jamii za kiislamu. Maana kila msiba lazma uyasikie au na yenyewe yanahitaji ukasome madrasa ili uyajue
Off the mark... learn to understand
 
Inaitwa "Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska" ipo maeneo ya kiwanja cha ndege, Dodoma....jina lake gumu kidogo, huwezi kumlaumu mtu akishindwa kuitaja kwa usahihi.
 
Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Hii media ina udini sana kuanzia ajira, njoo kwenye makampuni yanayomilikiwa na mmiliki ajira zao zinazingatia watu wa dini fulani. Serikali inatakiwa kulitupia macho
 
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Mwambie na yeye atamke humu S.A.W. kwa kirefu chake na kwa usahihi tuone!
 
Hii media ina udini sana kuanzia ajira, njoo kwenye makampuni yanayomilikiwa na mmiliki ajira zao zinazingatia watu wa dini fulani. Serikali inatakiwa kulitupia macho
Serikali inaongozwa na kinara wa udini
 
Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Angalikutana na misamiati kama vile, wakatukumeni, matoharani, vigango, walei, maburuda, maskramenti, litujia, groto, skapulali, n.k, si angalizimia kabisa!
 
Back
Top Bottom