Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo kabla ya kusoma habari huwa inapitiwa kwanza. Majina yote yenye utata kama ya timu mfano Midtjylland huwa tunauliza wataalamu wa angle hiyo ili tusibabaike tukiwa hewani.Kama huwezi kusoma kwanini uwe msomaji?
Rubbish bichwa lako eeebenezerRubbish
Unajua maana ya "yehuw"Akisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Shut your shithole plseUnajua maana ya "yehuw"
Umegulwa? WamekugulaShut your shithole plse
Upo sahihi,Azam sidhani kama wana udini maana manguli wake wengi wa utangazaji na wakuu wa vitengo maalum wengi ni wagalatia. Tusipende sana kuzusha.
Japo kuna kipindi flani Tido alianza kuleta udiniUpo sahihi,
Kina Peter kahemele
Maneno ya kawaida kabisaMkuu hasichojua huyo ni kwamba hayo maneno ni ya Kiarabu. Wapo waarabu wakristo na wengineo wasio waislamu wanayatamka hayo na kuongea Kiarabu kumliko!
Kwani watangazaji wanaokotwa mtaani?Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Crap!Anzisha TV yako na kanisa lako muwe mnasoma habari za kikatoliki tu ili nafsi zenu na huyo mwenye heri ziwe kwatuuu!
Wakiristo wengi na si wote!!..Sasa kwa nini unalazimisha msoma taarifa ya habari muislam aweze kutamka kigango Cha imakulata waamini wa kipaimara masadukayo!?Uwezo wako kwenye masuala ya kidini na kiimani ni mdogo sana.
Hayo ni maneno ya Kiarabu si ya Kiislamu. Na wapo wakristo wengi tu wanayasema na kuyaandika!
Tofautisheni lugha, imani na dini!
Off the mark... learn to understandKardinali pengo ni muandishi wa habari mkuu??..
Halafu hayo maneno mbona mepesi kama umeishi kwenye jamii za kiislamu. Maana kila msiba lazma uyasikie au na yenyewe yanahitaji ukasome madrasa ili uyajue
Hii media ina udini sana kuanzia ajira, njoo kwenye makampuni yanayomilikiwa na mmiliki ajira zao zinazingatia watu wa dini fulani. Serikali inatakiwa kulitupia machoAkisoma habari kwa ufupi saa nane mchana leo, mtangazaji alijifanya kushindwa kutamka maneno "Parokia ya mwenye heri Maria Theresa..." Akaishia kusema parokia ya mwenye heri! Kama mnaona ukakasi kutamka hayo maneno si bora hiyo habari mungeipotezea kuliko kupotosha.
Mwambie na yeye atamke humu S.A.W. kwa kirefu chake na kwa usahihi tuone!Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......
Serikali inaongozwa na kinara wa udiniHii media ina udini sana kuanzia ajira, njoo kwenye makampuni yanayomilikiwa na mmiliki ajira zao zinazingatia watu wa dini fulani. Serikali inatakiwa kulitupia macho
Angalikutana na misamiati kama vile, wakatukumeni, matoharani, vigango, walei, maburuda, maskramenti, litujia, groto, skapulali, n.k, si angalizimia kabisa!Mmh!!! Kwani huo ni udini wewe unafikiri kila mtu anajua hayo maneno ya kilatini, acha kua na fikira potofu wengi hayo maneno parokia, kaparamara, padri askofu atakuyatamka nishida, sio kila msomi alipitia sunday school, acha chuki mkuu kila mtu ana anacho jua vizuri.......