Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Match Finished

Utopolo Bingwa
 
Tehe tehe tehe haya kwenye ile ramli yenu nani saa hii amebaki wa kuwasaidia kuwazuia Yanga?
 
Unbeaten...go go Young Africans, I love you Yanga[emoji172][emoji617][emoji169]
Un beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligi
 
Tehe tehe tehe haya kwenye ile ramli yenu nani saa hii amebaki wa kuwasaidia kuwazuia Yanga?
Sasa kama Jangwa la daslam linafurika maji Kuna mtu anaweza azuie mafuriko mto Msimbazi?
😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mkuu hata UEFA timu zinafungwa tatu nne hadi tano wakati mwingine hadi saba hivyo mpe heshima yake Mayele..
 
Mwaka huu Yanga atachukua ubingwa. Umakini wa Prof Nabi na maboresho ya kikosi yameongeza ari.

Simba pamoja na ubora wa kikosi lakini tulianza ovyo mno na sasa tunasubiri timu dhaifu zilizobaki zimsimamishe kitu ambacho kwa ari ya Yanga ni ngumu sana labda kwa miujiza ya soka.
 
Mtazamo ww ni miongoni mwa watu wanaoheshimika humu JF ushabiki usikuondolee credibility uliyonayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…