Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..FT Azam1-Yanga2
Nani alisema yanga haendi roboo?
[emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]Safi kabisa Yanga
Tehe tehe tehe haya kwenye ile ramli yenu nani saa hii amebaki wa kuwasaidia kuwazuia Yanga?Refa ana hatari huyu hii mbeleko ya chuma aliyowabebea vyura itawaumiza mbeleni,
Ila mnaupiga mwingi Watani poa tu mmejitahidi sana!
Keleeeee Kwa vyuraaaaaaaaaaa!
Athletico de Utopolo of Jang Wani!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91]
Imeisha hiyo....Daaa tusamehe sisi makolo tumekubali no kubaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Un beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligiUnbeaten...go go Young Africans, I love you Yanga[emoji172][emoji617][emoji169]
Nadhani mods wameona hakuna haja ya kuwaambiaAcha matusi sheikh
Sasa kama Jangwa la daslam linafurika maji Kuna mtu anaweza azuie mafuriko mto Msimbazi?Tehe tehe tehe haya kwenye ile ramli yenu nani saa hii amebaki wa kuwasaidia kuwazuia Yanga?
Mkuu hata UEFA timu zinafungwa tatu nne hadi tano wakati mwingine hadi saba hivyo mpe heshima yake Mayele..Ndio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.
Kafunga goli chache za kutumia akili na nguvu lakini nyingi ni poor defence za timu nyingi zinakutana na mtu makini kama yeye. Huyu angekuwa enzi zile za kukaba hadi kivuli kama akina Salum Kabunda achomoki
Tulia wewe! Wanachi tuna jambo letu msimu huu.Un beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligi
PoleUn beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligi
river unitedBangala benchi. Aucho injured. Feisal injured. Farid injured
Bado Yanga anapata points 3 nyumbani kwa Azam.
Sasa kama majeruhi yameshindwa, nani ataweza?
Hata kwenye ngao ya hisani tulibebwa, tukapiga cha mkwezi.Un beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligi
Mtazamo ww ni miongoni mwa watu wanaoheshimika humu JF ushabiki usikuondolee credibility uliyonayoNdio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.
Kafunga goli chache za kutumia akili na nguvu lakini nyingi ni poor defence za timu nyingi zinakutana na mtu makini kama yeye. Huyu angekuwa enzi zile za kukaba hadi kivuli kama akina Salum Kabunda achomoki