Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Umeongea vizuri sana
 
Bangala benchi. Aucho injured. Feisal injured. Farid injured

Bado Yanga anapata points 3 nyumbani kwa Azam.

Sasa kama majeruhi yameshindwa, nani ataweza?
Kasoro refa sio injured
 
Mkuu hata UEFA timu zinafungwa tatu nne hadi tano wakati mwingine hadi saba hivyo mpe heshima yake Mayele..
Mtani unahitaji walau misimu miwili kuchukua ubingwa mfululizo ili ujenge kikosi cha ushindani kimataifa. Mwaka wenu huu [emoji3]
 
Tarehe 30 ndio Yanga inataka kutangaza ubingwa rasmi kwa kuwapa kichapo makolo.

Usisahau Mayele atakuwepo.😄😄
 
Un beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligi
Huu ushabiki wenu watanzania umepita viwango vya FIFA. Yaani sioni shabiki wa Simba anayeongelea Penati ya Wazi na Kadi ya Aggrey Morris.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Ila Utopolo mmebebwa mpaka aibu..huyu Refa sijui mmempa sh ngapi!!li Manara linajifanya kulalamika watu kupendelewa wakati yenyewe ndio inabebwa.. shenxi kabisaaa
Ww mpira ulisimuliwa Aggrey Morris kashika mpira makusudi ambao Mayele alikuwa ana ucheza kwa kichwa,ilikuwa straight red card.
 
Tarehe 30 ndio Yanga inataka kutangaza ubingwa rasmi kwa kuwapa kichapo makolo.

Usisahau Mayele atakuwepo.[emoji1][emoji1]
Mayele anajua kamwe hawezi kutetema kwa Inonga Baka Verane mutu ya kazi [emoji6]
 
Huna akili wewe Benzema kashatupia mbili huko ina maana UEFA ni ligi dhaifu?
 
Tunaomba shabiki mmoja wa simba amgawie mayele mke ikiwezekana na watoto kabisa ili afurahie kua Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…