Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Pole makoloAzam 2 yanga a.k.a utopolo 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole makoloAzam 2 yanga a.k.a utopolo 0
Tunacheza naye lini?river united
Pole sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Un beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligi
Mwaka huu Yanga atachukua ubingwa. Umakini wa Prof Nabi na maboresho ya kikosi yameongeza ari.
Simba pamoja na ubora wa kikosi lakini tulianza ovyo mno na sasa tunasubiri timu dhaifu zilizobaki zimsimamishe kitu ambacho kwa ari ya Yanga ni ngumu sana labda kwa miujiza ya soka.
Kasoro refa sio injuredBangala benchi. Aucho injured. Feisal injured. Farid injured
Bado Yanga anapata points 3 nyumbani kwa Azam.
Sasa kama majeruhi yameshindwa, nani ataweza?
Acha ujinga Wewe jingalao ubao haubadilishwi ila tunabadilisha namba tumods badili ubao
Mtani unahitaji walau misimu miwili kuchukua ubingwa mfululizo ili ujenge kikosi cha ushindani kimataifa. Mwaka wenu huu [emoji3]Mkuu hata UEFA timu zinafungwa tatu nne hadi tano wakati mwingine hadi saba hivyo mpe heshima yake Mayele..
Mwonee tu huruma. Anaumia .Pole sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tarehe 30 ndio Yanga inataka kutangaza ubingwa rasmi kwa kuwapa kichapo makolo.Mwaka huu Yanga atachukua ubingwa. Umakini wa Prof Nabi na maboresho ya kikosi yameongeza ari.
Simba pamoja na ubora wa kikosi lakini tulianza ovyo mno na sasa tunasubiri timu dhaifu zilizobaki zimsimamishe kitu ambacho kwa ari ya Yanga ni ngumu sana labda kwa miujiza ya soka.
Huu ushabiki wenu watanzania umepita viwango vya FIFA. Yaani sioni shabiki wa Simba anayeongelea Penati ya Wazi na Kadi ya Aggrey Morris.Un beaten wakati mnabebwa? Wangekuwa ndio Simba wamefanyiwa hivyo mngeita ptess conference na kutishia kususia ligi
Hedex mara tatu na maji mengi.Kasoro refa sio injured
Mwaka wenu huu [emoji3]
Ww mpira ulisimuliwa Aggrey Morris kashika mpira makusudi ambao Mayele alikuwa ana ucheza kwa kichwa,ilikuwa straight red card.Ila Utopolo mmebebwa mpaka aibu..huyu Refa sijui mmempa sh ngapi!!li Manara linajifanya kulalamika watu kupendelewa wakati yenyewe ndio inabebwa.. shenxi kabisaaa
Mayele anajua kamwe hawezi kutetema kwa Inonga Baka Verane mutu ya kazi [emoji6]Tarehe 30 ndio Yanga inataka kutangaza ubingwa rasmi kwa kuwapa kichapo makolo.
Usisahau Mayele atakuwepo.[emoji1][emoji1]
Huna akili wewe Benzema kashatupia mbili huko ina maana UEFA ni ligi dhaifu?Ndio ni mchezaji bora lakini ligi yetu pia dhaifu. How mfungaji kama huyo unapigwa mpira uliokufa alafu yupo free? Alipaswa kuwa na mtu ambaye assignment yake muda kama huo ni man to man.
Kafunga goli chache za kutumia akili na nguvu lakini nyingi ni poor defence za timu nyingi zinakutana na mtu makini kama yeye. Huyu angekuwa enzi zile za kukaba hadi kivuli kama akina Salum Kabunda achomoki