Sio kweli kuwa hakuna timu iliyomtaka, Fei hakuwa na 140m za kuvunja mkataba, alipewa. Wengi tulipiha kelele humu juu ya mlango ule uliofunguliwa kumpitisha Fei kutoka Yangà kwenda Azam. Ni mlango huohuo utumike kwa Dube pia ambae anasema Hana furaha Azam. Mlango ule haupaswi kufungwā tena na wala haufungiki tena.Hakuna timu iliyomtaka, yeye kama yeye ndio alivunja mkataba
Dube Kasema hataki kucheza Azam, unamwambia alipe 700,000,000 ili aondoke. Hivi Kuna mchezaji wa sh. 700m pale Azam? Hivi kama Fei angeuzwa kwa ,700m SI angeendelea kubaki Yanga hata kama hapendi kubaki Yanga? Hiyo bei ya 700,000,000 Haina uhalisia, ni kumfanya mchezaji acheze Azam hata kama hataki (mtumwa).
Unaona unavyojichanganya unampomsaini mchezaji unaweka thamani yake kubwa ili kusitokee uhuni kama huu wa dube, sasa wewe fei ulimwekea eti thamani yake ni m 100 kwa nini asilipe na kusepa. Sasa dube nae kama anayo hiyo hela analipa na kusepaDube Kasema hataki kucheza Azam, unamwambia alipe 700,000,000 ili aondoke. Hivi Kuna mchezaji wa sh. 700m pale Azam? Hivi kama Fei angeuzwa kwa ,700m SI angeendelea kubaki Yanga hata kama hapendi kubaki Yanga? Hiyo bei ya 700,000,000 Haina uhalisia, ni kumfanya mchezaji acheze Azam hata kama hataki (mtumwa).
release clause ya huo mkataba haisemi dola laki tatu,dube anawapa kiasi kilichoandikwa na hawataki,dube anaenda chinaKwani Azam wamekataa kumtoa?
Wamesema atoe hicho kiasi ambacho kimeelezwa kwenye termination of contract.
Yanga kumbuka walirudisha ile pesa ya Feisal ya kuvunja mkataba maana yake hawakutaka.
Azam wako tayari na kinachosubiriwa ni mchezaji kutoa hicho kiasi then akatafute maisha mengine.
Fei hakufata utaratibu wa kuhama lakini alihamishwa, bei ya fei haikuwa 100m lakini aliondoka.Unaona unavyojichanganya unampomsaini mchezaji unaweka thamani yake kubwa ili kusitokee uhuni kama huu wa dube, sasa wewe fei ulimwekea eti thamani yake ni m 100 kwa nini asilipe na kusepa. Sasa dube nae kama anayo hiyo hela analipa na kusepa
Tobo alilopitia Fei bado lipo, aonyeshwe tobo apite. ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga. Tulionya kuhusu kutengeneza tobo kwaajili ya mchezaji mmoja tu ambalo halizibiki.release clause ya huo mkataba haisemi dola laki tatu,dube anawapa kiasi kilichoandikwa na hawataki,dube anaenda china
Sema hiko kiasi.release clause ya huo mkataba haisemi dola laki tatu,dube anawapa kiasi kilichoandikwa na hawataki,dube anaenda china
Sasa si ndo mumchangie hiyo hela ailipe Azam aondoke?Mchezaji Hana furaha kucheza Azam, wale wachambuzi, mawakala na wanasheria waliokuwa wanamtetea Fei wako wapi kwenye hili? maana yanafanana kabisa. Vinginevyo mchezaji atakaa na kulipwa kwa misimu 2 bila kucheza.
Bahati mbaya yako ni kwamba Azam haina wanasheria vilaza kama walioko utopolo.Sio kweli kuwa hakuna timu iliyomtaka, Fei hakuwa na 140m za kuvunja mkataba, alipewa. Wengi tulipiha kelele humu juu ya mlango ule uliofunguliwa kumpitisha Fei kutoka Yangà kwenda Azam. Ni mlango huohuo utumike kwa Dube pia ambae anasema Hana furaha Azam. Mlango ule haupaswi kufungwā tena na wala haufungiki tena.
Kucheza chini ya kiwango kwa makusudi ni kuihujumu timu.Atacheza chini ya kiwango na kutumia kila wakati na kuumwa kila siku utamfanya nn? Hivi unajua Donald ngoma mzimbabwe mwenzake alikwendaje Azam kutoka Yangà?
Mi sijaiona siwezi nikapinga.release clause ya huo mkataba haisemi dola laki tatu,dube anawapa kiasi kilichoandikwa na hawataki,dube anaenda china
hana bei hiyo, wacha akalime matikitiki kwanza kama mlivyomfanyia Obre Chirwa, au wacha aende hijja kwanza kama mlivyomfanya Fei Toto wakati akisubiri hatima yake. Azam mtapata hasara kwakuwa mtaendelea kumlipa bila kucheza kwa miaka 2. Donald Ngoma alikuwa anasema anaumwa kila siku na kukataa kucheza sasa ni zamu yenu kwa dube.Sasa si ndo mumchangie hiyo hela ailipe Azam aondoke?
hachezi sasa mfanyeni mnavyotaka na kumlipa mtamlipa tu. huwezi kumlazimisha punda kunywa maji hata ukiweza kumlazimisha kwenda mtoni. The white elephant in the room, endelea kumlipa wakati unaendelea kusubiri 700m. Ni wanasheria matope kabisa hao.Bahati mbaya yako ni kwamba Azam haina wanasheria vilaza kama walioko utopolo.
Daah!! kumbe ushabiki umekujaa, hebu jiondoe kwenye ushabiki kwanza mwanangu narudia " unapomsaini mchezaji unakuwepo mkataba wenye kuonesha mambo mengi tu, mshahara, nyumba, bima, kama ni mchezaji wa kigeni ndio basi tena mtaenda mpaka dakika za kucheza uwanjani nk nk lkn kuna kuwepo kipengere cha kuvunja mkataba, hakuna mkataba usiovunjwa, katika mkataba lazima mweke thamani ya mchezaji na mchezaji mwenyewe aijue mfano mdogo pacome kwa sasa ana bei gani kama timu ikitaka kumchukua unaweza kukuta ni dola laki moja, sasa kama ni hivyo inategemea na msimu mfano sasa hivi dirisha limefungwa hakuna timu inaruhusiwa kuongea na mchezaji ili kuhama kinachofanyika ni timu x inampa mchezaji hiyo hela ya thamani yake + mishahara ya miezi 3 mbele mchezaji analipa club yake anasepa na hutasikia ameenda timu fulani mpaka dirisha la usajili kwa sababu kukwepa rungu la FIFA hiki ndicho kilichotokea kwa fei yaan fei alikuwa na thamani ndogo yaan m 100 sasa azam thamani ya dube ni dola laki 3 kama anayo alipe asepe hapo ndio mtiti 😅 na kama kuna timu nyuma ya pazia inamuhitaji imsaidie dola laki 3 kimya kimya asubiri dirisha ajiunge nao.Fei hakufata utaratibu wa kuhama lakini alihamishwa, bei ya fei haikuwa 100m lakini aliondoka.
Azam inaiandama yanga haijulikani kwanini, au pengine Azam inaisaidia Simba kwenye mambo yake.
Azam imehusika na masakata ya yanga kama vile Obre Chirwa, Donald Ngoma, kavumbagu, Ngasa, Sure Boy, Fei, Litombo na wengine wengi kwa lengi ya kuihujumu na kuidhoofisha Yanga. Dube atapata shida kuondoka pale kama akibainika anataka kwenda Yanga. Hii ndio inayosababisha Azam kuboronga kwenye kandanda pamoja na uwekezaji wake mkubwa.
Tobo alilopitishiwa Fei kwenda Azam "lazima" litumike kumpitisha Dube kwenda anakotaka kwenda, maana scenarios zao zinafanana, wote hawana raha kwenye timu zao.
Inasema ni shi ngapi😅😅release clause ya huo mkataba haisemi dola laki tatu,dube anawapa kiasi kilichoandikwa na hawataki,dube anaenda china
Tangu lini tff wanahamisha wachezajikama ingekuwa hivyo TFF ingemsaidia haraka na mapema kabisa kuhama. Mbona Azam walijificha?
najiuliza, kweli thamani ya Prince M Dube ni USD 300,000 ( TZS 765 Milioni)?Kwani Azam wamekataa kumtoa?
Wamesema atoe hicho kiasi ambacho kimeelezwa kwenye termination of contract.
Yanga kumbuka walirudisha ile pesa ya Feisal ya kuvunja mkataba maana yake hawakutaka.
Azam wako tayari na kinachosubiriwa ni mchezaji kutoa hicho kiasi then akatafute maisha mengine.
Iyo ni janja tu ya Azam kutisha watu kwakua Dube anaujua ukweli na Tff wanajua ukweli.najiuliza, kweli thamani ya Prince M Dube ni USD 300,000 ( TZS 765 Milioni)?
Hii imepimwaje?
Mwenye ufahamu anijuze
Nimekusoma 👍🏾Iyo ni janja tu ya Azam kutisha watu kwakua Dube anaujua ukweli na Tff wanajua ukweli.
Tff Wana nakala za mikataba ya wachezji wote na wanahifadhi wao.
Wanao mtaka prince pia wamesha usoma mkataba wote na kwasasa Wana angalia mchezo unavyokwenda.