Azam FC mtoeni Dube kama mlivyomchukua Fei

Huyu ndio mwakilishi halisi wa ile kauli wenye akili ni wawili
 

$ 300,000 si kuonyesha dhahiri hawataki kumuachia
 
Kama alivyopatikana Feisal ndivyo apatikane na Dube. Mbona ninyi mlizingua kumwachia Fei? Afuate matakwa ya mkataba

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Yanga walinyooka kwenye jambo la Fei toto lakini Azam aliongea na mchezaji kinyume na taratibu za mpira. Azam walikuwa na Nia ovu kwa Yanga ilipokuwa inakwribia mechi Yao dhidi ya Yanga. Kwa kosa Hilo ndio maana walikuwa wamejificha hata pale walipoitwa na Yanga. TFF wenye mpira wao iliwapa Yanga haki ili kuepuka vitendo vya kihuni kama vile kujitokeza tena huko mbele. Washauri wa Rais walishindwa kumshauri Rais kwenye jambo lile, wakamwingiza mkenge. Dube nae katembelea uchochoro uleule wa Azam na Fei toto, utamkatalia vipi?
 
Utopolo Kuna viazi hamna mwenye akili hata mmoja unajidhalilisha IQ ndogo
Kama unatafuta viazi basi viazi vipo TFF ambao waliwapa Yanga haki kwenye sakata lile. Azam walifanya kosa la kuongea na mchezaji mwenye mkataba na timu nyingine, na taratibu za kuuvunja mkata wa fei zilikiukwa na waliokuwa wanamrubuni Fei hawakujitokeza hadi kwa maagizo ya Rais wa nchi. Kiazi ni wewe kaka tena umechanganya na hogo. Unataka ifahamike kwa masakata ya Fei na Dube hayafanani, huo ndio ukiazi wenyewe ulionao.
 
Kwa hiyo kama mchezaji akisema hana furaha kuchezea timu fulani ndio aachiwe bila kufuata taratibu za kimkataba?. Fei toto mbona alisema hivyo hivyo na bado mkamng'ang'ania?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Fei angekuwa na haki TFF, CAF na CAS wangemruhusu asepe, mbona walikwenda kwa Rais wa nchi?
 
Mikataba yote ya Fei na Dube inavyo vipengele vya kuvunja mkataba ambavyo ni lazima vifuatwe kikamilifu, Fei alishindwa kuvifuata na Dube anashindwa kuvifuata, wote wanashindwa kuvifuata ili wawe huru. kama Fei alisaidiwa ni kwanini Dube asisaidiwe pia, na mwingine na mwingine. Ndio maana sisi wenye akili ndefu tulipinga namna Fei alivyosaidiwa kuvunja mkataba wake na Yanga, tulijua kuwa tunafungua box ambalo tutashindwa kulifunika huko mbeleni.
 
Haya, asipotokea mtu wa kulipa US3500 kipi kitatokea?
Mchezaji anaendelea kutumikia mkataba wake. Mkuu ulienda shule kweli? Unataka Azam wamuache bure? Ni mkataba sheikh na alisaini.
 
Kumbuka Fei alideposit hela 112m Yanga wakazirudisha. Usisahau hilo.
 
Mchezaji anaendelea kutumikia mkataba wake. Mkuu ulienda shule kweli? Unataka Azam wamuache bure? Ni mkataba sheikh na alisaini.
hawawezi kumuacha bure, win-win lazima iwepo lakini sio 700m. mchezaji hana quality hiyo kwa sasa. Vinginevyo, Azam hawatapata huduma ya Dube, wataendelea kumlipa au watamfukuza. TFF, CAF na FIFA wanayo majibu ya swali kama hili. Just weight and see. Mchezaji sio mtumwa kama hakutaki hakutaki tu atakaa benchi hadi lini?
 
Hana thamani hiyo kwani kipindi wana saini mkataba kati yake na Azam ulikuwepo mpaka useme mkataba hauna thamani hiyo?
mkataba tunao
 
Kumbuka Fei alideposit hela 112m Yanga wakazirudisha. Usisahau hilo.
hata kurudisha fedha kuna kwata (drill) yake. Huwezi kurudisha fedha kama vile unarudisha viatu ulivyoviiba msikitini. Faisal aliikosea hiyo drill ndiyo maana ilimsumbua.
 
Haya sasa ni makubaliano. Za chini ya kapeti Dube alipeleka 150,000 [emoji385] Azam wamekataa labda ikifika 200,000 au 250,000 [emoji385] watakubali. Know knows.
 
Mchezaji anaendelea kutumikia mkataba wake. Mkuu ulienda shule kweli? Unataka Azam wamuache bure? Ni mkataba sheikh na alisaini.
Kocha ampange basi kwenye mechi yake vs Yanga tuone.
 
Haya sasa ni makubaliano. Za chini ya kapeti Dube alipeleka 150,000 [emoji385] Azam wamekataa labda ikifika 200,000 au 250,000 [emoji385] watakubali. Know knows.
700m unamnunua Percy Tau?!!
 
$ 300,000 si kuonyesha dhahiri hawataki kumuachia
Mkuu hata Azam wangemvunjia mkataba dube nao walitakiwa walipe hivyo, hiyo ni kwa yoyote yule atakayevunja mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…