Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tukutane fainali mkuu.
Shomari kapombe anagaagaa chini, amekanyagwa maeneo nyeti....dk 77
Kadi Nyekundu Mohamed Ibrahim kwa kumchezea sivyo Kapombe.
Alikuwa na kadi ya njano kapewa ya pili na nyekundu.
Kwa ushindi wa uwanjani sawa,sahau kuhusu Mezani.Niandalie kombe.
Nafurahi sana kusikia hivyo mkuu..nani alisema Yanga atapita kwa Mbao hah hah kazi wanayo!Tff bana wanataka tu mapato ya simba na yanga fainal
Si umeona amelia kama mtoto.[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi hapa,tukutane kesho uone kandanda safi.Nafurahi sana kusikia hivyo mkuu..nani alisema Yanga atapita kwa Mbao hah hah kazi wanayo!
😱Mkuu tafadhali naomba tuheshimiane. Huu ni mchezo na hapa tupo kufurahi na sio kutukanana/kudhalilishana.
Kama kiwango chako cha ustaarab ni kidogo naomba kaa mbali na posts zangu.
Mashabiki wenzio wa Simba tunajuana na tumekuwa tukitaniana huku huu mwaka wa 3 sasa hatujawahi kutukanana wala kuvunjiana heshima.
Behave pls
kihereherefc.comYarabiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Azam mnafanya nini jamani?
Daaaaaaaah!
Goli la waaaazi kabisa.
Dakika ya 42 kipindi cha pili.Mbona kimya... Tujuzen bas matokeo
Natamani tu Azam wasawazishe,japo hata wakifungwa sina cha kupoteza ila sipendi tu kuwaona mikia wakishinda [emoji17]
We nawe lemba lako si utulie unaturusha roho bure..sibrini kesho yenuYarabiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Azam mnafanya nini jamani?
Daaaaaaaah!
Goli la waaaazi kabisa.
Hayo maeneo hayana mbabe mkuu. Hata angekuwa yule komandoo aliyevunjiwa matofali kifuani juzi angelia tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si umeona amelia kama mtoto.[emoji23] [emoji23] [emoji23]