Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Azam federation cup: Simba Sc yainyuka Azam bao 1-0 na kutinga fainali

Azam wameniangusha leo. Wamewapa hawa jamaa tiketi ya kupanda ndege mwakani. Hapa hata Yanga wakishinda vikombe vyote itabidi wawaachie nafasi moja coz watakua wapili kwenye ligi.

Anyway kila la heri vijana wa msimbazi manake sio kwa kusugua namna hiyo.
 
Shomari kapombe anagaagaa chini, amekanyagwa maeneo nyeti....dk 77

Kadi Nyekundu Mohamed Ibrahim kwa kumchezea sivyo Kapombe.
Alikuwa na kadi ya njano kapewa ya pili na nyekundu.
 
Shomari kapombe anagaagaa chini, amekanyagwa maeneo nyeti....dk 77

Kadi Nyekundu Mohamed Ibrahim kwa kumchezea sivyo Kapombe.
Alikuwa na kadi ya njano kapewa ya pili na nyekundu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yarabiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Azam mnafanya nini jamani?
Daaaaaaaah!
Goli la waaaazi kabisa.
 
Mkuu tafadhali naomba tuheshimiane. Huu ni mchezo na hapa tupo kufurahi na sio kutukanana/kudhalilishana.

Kama kiwango chako cha ustaarab ni kidogo naomba kaa mbali na posts zangu.

Mashabiki wenzio wa Simba tunajuana na tumekuwa tukitaniana huku huu mwaka wa 3 sasa hatujawahi kutukanana wala kuvunjiana heshima.
Behave pls
😱
 
Natamani tu Azam wasawazishe,japo hata wakifungwa sina cha kupoteza ila sipendi tu kuwaona mikia wakishinda [emoji17]

Kumbe una roho mbaya hivi mkuu. Umenikumbusha mbunge wa zamani wa mikoa ya kusini na mfano wake wa nyoka wa mdimu/mdimi.
 
Back
Top Bottom