Yanga wanabebwa wameongezewa dakika 6 zote hizo?
Haina marudiano hiyo vyura wamekalishwaTunaosubiri kurudiana na Lipuli dar ..Tuna'coment wapi jamani!?
K A M W E N E E !!!"
Kweli?Imebaki dakika 1 lolote laweza kutokea tujipe moyo
tupe matokeo basiMPIRA UMEKWISHAAAAAAAAAAAAA!!
Lipuli 2 Yanga 0tupe matokeo basi
Kanyigo ?,[emoji3][emoji1787][emoji1787]
Mh, mbona balaa! Yote hayo!Lipuli 2 Yanga 0
Usijali mtani, hapo Samora ni Uarabuni.. ngoja mkirudiana taifa, pale hatoki mtu.Mtani Sapta Sapta sogea uone leo tunavyoizima ile kauli ya "KAMWENE"