Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Hapana Mayele anamilikiwa na Don kule Kinshasha.....Yanga wamepata only 30% ...Mzee, kwa Mayele ni kweli Yanga wamelamba huo mpunga wote kweli?
tayari Yanga imeingiziwa fedha zake za mauzo ya Mayele ambazo ni zaidi ya Sh2 bilioni na nyota huyo ataondoka nchini muda wowote kuanzia leo. Tetesi zinasema jana alikuwa misri na tayari amefanyiwa vipimo na muda wowote atatambulishwa pyramidMzee, kwa Mayele ni kweli Yanga wamelamba huo mpunga wote kweli?
Hizi ni siasa za mpira wa bongo. Hakuna club itakayomtoa kwa mkopo Mchezaji kama mayeleHapana Mayele anamilikiwa na Don kule Kinshasha.....Yanga wamepata only 30% ...
unabomoaje kwa mchezaji tuliyemuuza sisi wenyeweUhamisho wa Yannick Bangala uko mbioni kukamilika.Yanga imepokea ofa ya 100m kutoka kwa @azamfcofficial
Yannick alibakisha mkataba wa mwaka mmoja na klabu yake ya @yangasc
BISHARA
[emoji2389] Mayele 2.8B
[emoji2390] Feisal Salum 200m
[emoji2391] Yannick Bangala 100m
[emoji2392] Shaban Djuma 100m [emoji352]
View attachment 2702069
Yanga sio genge la wahuni, mchezaji ukizingua unazinguliwa, pale akuna kulea uvundo wa aina yoyote, ndio maana akuna klabu Tanzania iliwai kufukuza timu nzima na ikaendelea kuuwasha moto kama vile akuna kilichotokea ni yanga tu,,,Ayo mambo ya kulea ujinga yapo simba ndio maana chama anawashika makalio anavyotaka na mnamkenulia tu, uyo angekuwa yanga angekuwa ashaisoma namba!Kwa nini wachezaji hawataki kuchezea Yanga?
Feisal je mbona kwa zaidi ya miezi 6 mlikuwa mnambembeleza arudi, mmekuja kumuachia baada ya kusutwa. Hizi mambo ya kuacha wachezaji ambao bado mnawahitaji bado mnajifunza, mikishakubaliana na hali ambayo hamuwezi kuibadilisha ndiyo mnakuja na maneno haya. Pia unaposema Yanga ilifukuza timu nzima, kumbuka hadi uongozi pia ulikuwa umegawanyika.Yanga sio genge la wahuni, mchezaji ukizingua unazinguliwa, pale akuna kulea uvundo wa aina yoyote, ndio maana akuna klabu Tanzania iliwai kufukuza timu nzima na ikaendelea kuuwasha moto kama vile akuna kilichotokea ni yanga tu,,,Ayo mambo ya kulea ujinga yapo simba ndio maana chama anawashika makalio anavyotaka na mnamkenulia tu, uyo angekuwa yanga angekuwa ashaisoma namba!
Kama ambavyo atuijui issue ya chama kama ulivyonena basi na wewe bora ukae kimya juu ya issue ya feisal maana akuna unachokijua zaidi ya habari za udakuFeisal je mbona kwa zaidi ya miezi 6 mlikuwa mnambembeleza arudi, mmekuja kumuachia baada ya kusutwa. Hizi mambo ya kuacha wachezaji ambao bado mnawahitaji bado mnajifunza, mikishakubaliana na hali ambayo hamuwezi kuibadilisha ndiyo mnakuja na maneno haya. Pia unaposema Yanga ilifukuza timu nzima, kumbuka hadi uongozi pia ulikuwa umegawanyika.
Ishu ya Chama hauijui nakushauri achana nayo.
Habari za Feisal tunazijua maana yeye mwenyewe ameziongelea kwa uwazi na hakuna kiongozi aliyejitokeza kuzikanusha.Kama ambavyo atuijui issue ya chama kama ulivyonena basi na wewe bora ukae kimya juu ya issue ya feisal maana akuna unachokijua zaidi ya habari za udaku
Hii nayo akili au matope? Umesikia wangapi hawataki kuchezea Yanga?Kwa nini wachezaji hawataki kuchezea Yanga?
Alafu baada ya kuongea kama alikuwa sahihi ni nini kilifataHabari za Feisal tunazijua maana yeye mwenyewe ameziongelea kwa uwazi na hakuna kiongozi aliyejitokeza kuzikanusha.
YANGA MWENZANGU ACHA KUJAZWA UONGO NAWE UKATEMBEA NAO. HUU UJINGA UMEUTOA WAPI? TANGA WAMEINGIZIWA BIL 2? UNAZIFAHAMU WEWE? UNAMFAHAMU MMILIKI WA MAYELE?tayari Yanga imeingiziwa fedha zake za mauzo ya Mayele ambazo ni zaidi ya Sh2 bilioni na nyota huyo ataondoka nchini muda wowote kuanzia leo. Tetesi zinasema jana alikuwa misri na tayari amefanyiwa vipimo na muda wowote atatambulishwa pyramid
Mmiliki wa mayele ni mangungu ndiye ameingiziwa icho kiasi kwenye account yake, case closed!YANGA MWENZANGU ACHA KUJAZWA UONGO NAWE UKATEMBEA NAO. HUU UJINGA UMEUTOA WAPI? TANGA WAMEINGIZIWA BIL 2? UNAZIFAHAMU WEWE? UNAMFAHAMU MMILIKI WA MAYELE?
Ila Mkude kiwango kimepanda? 🤣🤣🤣 Toka Yanga Day hayupo Kambini.Bangala kiwango kimeshuka.
Yanga wamepeleka makapi Azam FC.
Na tatizo la Azam FC hili hapa.
Abdul Kareem Popat ndio sababu hasa ya Azam FC Kukosa mafanikio
Abdul Kareem Popat amekuwa CEO wa Azam FC kwa zaidi ya Miaka 7. Huyu ndio CEO ambae hana presha kabisa ya kupoteza kazi yake kutokana kutopewa presha ya mafanikio pale Chamzi Complex. Kipindi chote cha uongozi wake Azam FC imeambulia kikombe kimoja tuu cha FA (Azam Confederation Cup) mnamo...www.jamiiforums.com
Ooooh.... Kumbe. Sasa mbona hawakusema toka zamani? Daaah... Hawa watu hawa.Mmiliki wa mayele ni mangungu ndiye ameingiziwa icho kiasi kwenye account yake, case closed!