Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Uhamisho wa Yannick Bangala uko mbioni kukamilika. Yanga imepokea ofa ya milioni 100 kutoka kwa Azam FC.

Yannick alibakisha mkataba wa mwaka mmoja na klabu yake ya Yanga SC.

Biashara

1️⃣ Mayele 2.8B
2️⃣ Feisal Salum 200m
3️⃣ Yannick Bangala 100m
4️⃣ Shaban Djuma 100m ⏳
BCE9B973-A190-4785-AF69-896098EA6E42.jpeg
 
Mzee, kwa Mayele ni kweli Yanga wamelamba huo mpunga wote kweli?
tayari Yanga imeingiziwa fedha zake za mauzo ya Mayele ambazo ni zaidi ya Sh2 bilioni na nyota huyo ataondoka nchini muda wowote kuanzia leo. Tetesi zinasema jana alikuwa misri na tayari amefanyiwa vipimo na muda wowote atatambulishwa pyramid
 
Uhamisho wa Yannick Bangala uko mbioni kukamilika.Yanga imepokea ofa ya 100m kutoka kwa @azamfcofficial

Yannick alibakisha mkataba wa mwaka mmoja na klabu yake ya @yangasc

BISHARA

[emoji2389] Mayele 2.8B
[emoji2390] Feisal Salum 200m
[emoji2391] Yannick Bangala 100m
[emoji2392] Shaban Djuma 100m [emoji352]
View attachment 2702069
unabomoaje kwa mchezaji tuliyemuuza sisi wenyewe

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini wachezaji hawataki kuchezea Yanga?
Yanga sio genge la wahuni, mchezaji ukizingua unazinguliwa, pale akuna kulea uvundo wa aina yoyote, ndio maana akuna klabu Tanzania iliwai kufukuza timu nzima na ikaendelea kuuwasha moto kama vile akuna kilichotokea ni yanga tu,,,Ayo mambo ya kulea ujinga yapo simba ndio maana chama anawashika makalio anavyotaka na mnamkenulia tu, uyo angekuwa yanga angekuwa ashaisoma namba!
 
Feisal je mbona kwa zaidi ya miezi 6 mlikuwa mnambembeleza arudi, mmekuja kumuachia baada ya kusutwa. Hizi mambo ya kuacha wachezaji ambao bado mnawahitaji bado mnajifunza, mikishakubaliana na hali ambayo hamuwezi kuibadilisha ndiyo mnakuja na maneno haya. Pia unaposema Yanga ilifukuza timu nzima, kumbuka hadi uongozi pia ulikuwa umegawanyika.

Ishu ya Chama hauijui nakushauri achana nayo.
 
Kama ambavyo atuijui issue ya chama kama ulivyonena basi na wewe bora ukae kimya juu ya issue ya feisal maana akuna unachokijua zaidi ya habari za udaku
 
Bangala kiwango kimeshuka.
Yanga wamepeleka makapi Azam FC.
Na tatizo la Azam FC hili hapa.

tayari Yanga imeingiziwa fedha zake za mauzo ya Mayele ambazo ni zaidi ya Sh2 bilioni na nyota huyo ataondoka nchini muda wowote kuanzia leo. Tetesi zinasema jana alikuwa misri na tayari amefanyiwa vipimo na muda wowote atatambulishwa pyramid
YANGA MWENZANGU ACHA KUJAZWA UONGO NAWE UKATEMBEA NAO. HUU UJINGA UMEUTOA WAPI? TANGA WAMEINGIZIWA BIL 2? UNAZIFAHAMU WEWE? UNAMFAHAMU MMILIKI WA MAYELE?
 
Bangala kiwango kimeshuka.
Yanga wamepeleka makapi Azam FC.
Na tatizo la Azam FC hili hapa.

Ila Mkude kiwango kimepanda? 🤣🤣🤣 Toka Yanga Day hayupo Kambini.
 
Back
Top Bottom