Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

Maana yake baada ya siku 14 shija kama hatowasilisha ushahidi basi Azam media watamshitaki na kufungua case ya madai!
Shija kazi anayo….
Hawa wanafanya damage control tu, zinaweza kufika hizo siku 14 na wakamuacha tu.

Na rushwa za bongo kama mtu hukumdhamiria kumchomesha ni ngumu sana kupata ushahidi
 
N
Ninaweza nikawa nina akili mingi sana kumzidi hata yeye you never know alafu unasema as if unanijua personally, any ways ni maamuzi yao kufanya wanachojisikia tusiwapangie wao ndio wanajua wanachofanya all in all ujumbe umefika
Nakupata vizuri point yako
 
Wamekataa soma vizuri ..ila wanataka ushahidi ila wamekataa na kuwatetea wafanyakazi wao na chombo! Shija apeleke ushahidi kinyume na hapo cas ya kuchafua watu au taasisi ina muhusu
Hajaelewa badala yake nayeye anaanza kuangukia watu wengine Tanzania yetu
 
Back
Top Bottom