Naamini Dube ni mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi ya hiyo, lakini mimi nipo kwenye hoja yako ya Uwazi...Ukubwa au udogo wa M750 unategemeana na thamani ya mkataba. Yanga hawakuwa wazi kama Azam walivyo wazi.
Fei aliposusa Yanga walifanyaje? Walimpa option tatu ikiwemo ya kumuongezea mshahara.Kwani ulijua kama Fei atasusa kucheza Yanga,si ilitokea tu na ndio maana nikasema kama ikitokea Dude kasusa....... sababu niliona ilitokea kwa Fei.
HAPANA. Wewe huoni uhalisia. Azam wapo straight kuhusu wanachotaka, Yanga hawakuwa straight kuhusu wanachotaka.Wewe upo biased ndicho ninacho bishana na ww. Sababu unacho kiapply kwa Yanga kwa the same scenario hutaki kukiapply kwa Azam sabau wewe kwa unazi wako wa unaona Yanga alikuwa hana haki na ndio maana na kushangaa.
Sasa wakishtakiana huoni unarudi kulekule,kwa ulichosema kwamba " Yanga walikuwa wanataka kumkomoa Fei..",kwa kutumi huo huo mtizamo wako huoni kwamba " Azam wanamkomoa".Azam anamshtaki. Yeye bado ni mchezaji wa Azam mpaka atakapolipa hiyo pesa au kama atapunguziwa. Hapa suala ni uwazi wa kinachohitajika kufanyika. Azam wameshamaliza upande wao. Sasa kazi kwa Dube.
Yeye anavunja mkataba akitaka. Atimize matakwa tu ya Exit clause. Azam ishaweka wazi kuwa according to wao Exit clause ni M750, kama anaona haipo sawa anapaswa kusema wakishindwana then wanashtakiana.
Kama ni siku wachezaji waamke walipe hela ya kuvuja mkataba,Nenda kagoogle kuhusu unilateral contract termination kwa player wa football au soma FIFA regulations on the status and transfer of players article 17 na ina consequences zake.
Kwani kazi ni utumwa ?
Straight ipi? Kwani Yanga approach yao ilivunja sheria au taratibu?Fei aliposusa Yanga walifanyaje? Walimpa option tatu ikiwemo ya kumuongezea mshahara.
HAPANA. Wewe huoni uhalisia. Azam wapo straight kuhusu wanachotaka, Yanga hawakuwa straight kuhusu wanachotaka.
Hata kama umeeleza,pale TFF kulikuwa na jopo la wanasheria based on scenario ya Fei ,unazani hao wanasheria hawa kuliona hilo la unilateral. Unaweza ukazungumzia hilo je scenario yako inaapply kwenye mpira na kwenye swala la Fei.Rejea #42 nimeeleza hii
Suala la mm kuamini au kutokuamimi kwa sasa halina maana sababu sijasikia Dube kasemaje kuhusu hilo dau.Naamini Dube ni mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi ya hiyo, lakini mimi nipo kwenye hoja yako ya Uwazi...
Kwamba wewe unawaamini Azam kwamba wapo wazi kuwa thamani ya Mkataba wa Dube ni $300,000? Kutamka tu umewaamini?
Kwani kwa Fei ulisikia kususa si ilitokea tu.Suala la mm kuwaamini au kutokuamimi kwa sasa halina maana sababu sijasikia Dube kasemaje kuhusu hilo dau.
Dube yeye anaamini kuwa anatakiwa kulipa kiasi gani?. Dube akisema hicho kiasi ni kikubwa akatoa na sababu basi na sisi wa nje tunaweza either kumsapoti au kuwasapoti Azam.
Sasa niseme dau ni kubwa halifai halafu akilikubali akalipa?
Sasa unafikiri kuwepo kwa hiko kifungu ndio kinafanya wachezaji wavunje mkataba wote ?Kama ni siku wachezaji waamke walipe hela ya kuvuja mkataba,
Waweke kwenye akaunti na siku una mechi ya fainal CAFCL ligi utachezaje
Acha ushabiki we mbumbumbu mambo hawezi kwenda hivo
Mkataba mnakaa pande mbili
Mchezaji anaimarika kwa mengi
Team inamletea makocha
Team inaleta wachezaji wanaomzunguka
Team inamweka kambi
Team inampeleka gym
Team inampa washauri
Halafu kesho mchezaji agome aweke pesa akaunti then unaona sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilitokea tu how? Tunatoa maoni baada ya kupata taarifa,Yanga walitoa taarifa kuwa Fei hayupo kambini.Kwani kwa Fei ulisikia kususa si ilitokea tu.
Kwa hatua hii huwezi sema unasapoti upande upi ila unachoweza kusema ni kuwa Azam wapo sawa kuweka wazi wanachotaka.Wewe umsupport Dude......? Kuwa mkweli,mil 750 kwa Dude,hebu tuache unafiki tuwe real.
Hilo alikua sahihi lakini kulingana na kanuni za TFF za kichampionship 2021 kanuni ya 74, TFF ndio msimamizi wa mikataba hivyo kama unataka kuvunja wao washirikishwe, Feisal hakufanya hivyo hapo ndipo walipo mkamata.Hata kama umeeleza,pale TFF kulikuwa na jopo la wanasheria based on scenario ya Fei ,unazani hao wanasheria hawa kuliona hilo la unilateral. Unaweza ukazungumzia hilo je scenario yako inaapply kwenye mpira na kwenye swala la Fei.
Mpinzani wako atapewa Point 3 na timu haitocheza maana haina wachezaji sababu wamevunja mkataba. na kama wapo basi wana kesi na club baada ya jaribio la kuvunja mkatabaKama ni siku wachezaji waamke walipe hela ya kuvuja mkataba,
Waweke kwenye akaunti na siku una mechi ya fainal CAFCL ligi utachezaje
Huu ndo msingi wa kiasi cha fidia ili uvunje mkataba ila mkataba unavunjika.Mkataba mnakaa pande mbili
Mchezaji anaimarika kwa mengi
Team inamletea makocha
Team inaleta wachezaji wanaomzunguka
Team inamweka kambi
Team inampeleka gym
Team inampa washauri
Halafu kesho mchezaji agome aweke pesa akaunti then unaona sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku pamejaa wajinga wengi sana usiwatukane waeleweshe tu.Sasa unafikiri kuwepo kwa hiko kifungu ndio kinafanya wachezaji wavunje mkataba wote ?
Mbona mnatumia makalio kufikiri, mbona serikalini na taasisi binafsi kuna hiyo option mbona watu hawafanyi hivyo ?
Sasa nenda kasome FIFA regulations on the status and transfer of players article 17
Kwanini wasivunje wote kama wako huru kuvunja na wameamua siku moja wote wavunje mkataba na team ina mechi na ina mahitaji nao watachezaje?Sasa unafikiri kuwepo kwa hiko kifungu ndio kinafanya wachezaji wavunje mkataba wote ?
Mbona mnatumia makalio kufikiri, mbona serikalini na taasisi binafsi kuna hiyo option mbona watu hawafanyi hivyo ?
Sasa nenda kasome FIFA regulations on the status and transfer of players article 17
Mkuu, kama wakiamua na uwezo upo wanavunja. Kwanini unadhani haiwezekani? WANAVUNJAA. We sema hiyo fidia Club itakayopata ni pesa za kutosha.Kwanini wasivunje wote kama wako huru kuvunja na wameamua siku moja wote wavunje mkataba na team ina mechi na ina mahitaji nao watachezaje?
We unadhani team hazina haki na hazilindwi maslahi yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo pesa wanazo za kuvunja ?, Ataishije akishavunja makataba ? Na sasa hatocheza mpaka dirisha lifunguliwe kiwango chake kitakuwaje ?Kwanini wasivunje wote kama wako huru kuvunja na wameamua siku moja wote wavunje mkataba na team ina mechi na ina mahitaji nao watachezaje?
We unadhani team hazina haki na hazilindwi maslahi yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Fidia ya nini wakati ni haki yao na wametiza haki za clubMkuu, kama wakiamua na uwezo upo wanavunja. Kwanini unadhani haiwezekani? WANAVUNJAA. We sema hiyo fidia Club itakayopata ni pesa za kutosha.