Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Ukubwa au udogo wa M750 unategemeana na thamani ya mkataba. Yanga hawakuwa wazi kama Azam walivyo wazi.
Naamini Dube ni mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi ya hiyo, lakini mimi nipo kwenye hoja yako ya Uwazi...

Kwamba wewe unawaamini Azam kwamba wapo wazi kuwa thamani ya Mkataba wa Dube ni $300,000? Kutamka tu umewaamini?
 
Kwani ulijua kama Fei atasusa kucheza Yanga,si ilitokea tu na ndio maana nikasema kama ikitokea Dude kasusa....... sababu niliona ilitokea kwa Fei.
Fei aliposusa Yanga walifanyaje? Walimpa option tatu ikiwemo ya kumuongezea mshahara.
Wewe upo biased ndicho ninacho bishana na ww. Sababu unacho kiapply kwa Yanga kwa the same scenario hutaki kukiapply kwa Azam sabau wewe kwa unazi wako wa unaona Yanga alikuwa hana haki na ndio maana na kushangaa.
HAPANA. Wewe huoni uhalisia. Azam wapo straight kuhusu wanachotaka, Yanga hawakuwa straight kuhusu wanachotaka.
 
Azam anamshtaki. Yeye bado ni mchezaji wa Azam mpaka atakapolipa hiyo pesa au kama atapunguziwa. Hapa suala ni uwazi wa kinachohitajika kufanyika. Azam wameshamaliza upande wao. Sasa kazi kwa Dube.

Yeye anavunja mkataba akitaka. Atimize matakwa tu ya Exit clause. Azam ishaweka wazi kuwa according to wao Exit clause ni M750, kama anaona haipo sawa anapaswa kusema wakishindwana then wanashtakiana.
Sasa wakishtakiana huoni unarudi kulekule,kwa ulichosema kwamba " Yanga walikuwa wanataka kumkomoa Fei..",kwa kutumi huo huo mtizamo wako huoni kwamba " Azam wanamkomoa".

Najua upo biased ila tupo hapa na kwa mpira wetu ulivyokuwa hovyo, kuna siku yatatokea kwako.
 
Nenda kagoogle kuhusu unilateral contract termination kwa player wa football au soma FIFA regulations on the status and transfer of players article 17 na ina consequences zake.

Kwani kazi ni utumwa ?
Kama ni siku wachezaji waamke walipe hela ya kuvuja mkataba,
Waweke kwenye akaunti na siku una mechi ya fainal CAFCL ligi utachezaje
Acha ushabiki we mbumbumbu mambo hawezi kwenda hivo

Mkataba mnakaa pande mbili

Mchezaji anaimarika kwa mengi
Team inamletea makocha
Team inaleta wachezaji wanaomzunguka
Team inamweka kambi
Team inampeleka gym
Team inampa washauri
Halafu kesho mchezaji agome aweke pesa akaunti then unaona sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fei aliposusa Yanga walifanyaje? Walimpa option tatu ikiwemo ya kumuongezea mshahara.

HAPANA. Wewe huoni uhalisia. Azam wapo straight kuhusu wanachotaka, Yanga hawakuwa straight kuhusu wanachotaka.
Straight ipi? Kwani Yanga approach yao ilivunja sheria au taratibu?

Tatizo lako wazi yako ww ya Azam unataka ifanane na Yanga.
 
Rejea #42 nimeeleza hii
Hata kama umeeleza,pale TFF kulikuwa na jopo la wanasheria based on scenario ya Fei ,unazani hao wanasheria hawa kuliona hilo la unilateral. Unaweza ukazungumzia hilo je scenario yako inaapply kwenye mpira na kwenye swala la Fei.
 
Naamini Dube ni mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi ya hiyo, lakini mimi nipo kwenye hoja yako ya Uwazi...

Kwamba wewe unawaamini Azam kwamba wapo wazi kuwa thamani ya Mkataba wa Dube ni $300,000? Kutamka tu umewaamini?
Suala la mm kuamini au kutokuamimi kwa sasa halina maana sababu sijasikia Dube kasemaje kuhusu hilo dau.

Dube yeye anaamini kuwa anatakiwa kulipa kiasi gani?. Dube akisema hicho kiasi ni kikubwa akatoa na sababu basi na sisi wa nje tunaweza either kumsapoti au kuwasapoti Azam.

Sasa niseme dau ni kubwa halifai halafu akilikubali akalipa?
 
Suala la mm kuwaamini au kutokuamimi kwa sasa halina maana sababu sijasikia Dube kasemaje kuhusu hilo dau.

Dube yeye anaamini kuwa anatakiwa kulipa kiasi gani?. Dube akisema hicho kiasi ni kikubwa akatoa na sababu basi na sisi wa nje tunaweza either kumsapoti au kuwasapoti Azam.

Sasa niseme dau ni kubwa halifai halafu akilikubali akalipa?
Kwani kwa Fei ulisikia kususa si ilitokea tu.

Wewe umsupport Dude......? Kuwa mkweli,mil 750 kwa Dude,hebu tuache unafiki tuwe real.
 
Kama ni siku wachezaji waamke walipe hela ya kuvuja mkataba,
Waweke kwenye akaunti na siku una mechi ya fainal CAFCL ligi utachezaje
Acha ushabiki we mbumbumbu mambo hawezi kwenda hivo

Mkataba mnakaa pande mbili

Mchezaji anaimarika kwa mengi
Team inamletea makocha
Team inaleta wachezaji wanaomzunguka
Team inamweka kambi
Team inampeleka gym
Team inampa washauri
Halafu kesho mchezaji agome aweke pesa akaunti then unaona sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unafikiri kuwepo kwa hiko kifungu ndio kinafanya wachezaji wavunje mkataba wote ?

Mbona mnatumia makalio kufikiri, mbona serikalini na taasisi binafsi kuna hiyo option mbona watu hawafanyi hivyo ?

Sasa nenda kasome FIFA regulations on the status and transfer of players article 17
 
Kwani kwa Fei ulisikia kususa si ilitokea tu.
Ilitokea tu how? Tunatoa maoni baada ya kupata taarifa,Yanga walitoa taarifa kuwa Fei hayupo kambini.
Wewe umsupport Dude......? Kuwa mkweli,mil 750 kwa Dude,hebu tuache unafiki tuwe real.
Kwa hatua hii huwezi sema unasapoti upande upi ila unachoweza kusema ni kuwa Azam wapo sawa kuweka wazi wanachotaka.

Dube akirespond then unaweza kupima kuwa umsapoti nani.

Let's say mm kwa kuhemka nikasema Dube anaonewa, halafu Azam wakaleta kipengele cha mkataba kinachohalalisha hiyo M750 halafu Dube akalipa. Enhee?
 
Hata kama umeeleza,pale TFF kulikuwa na jopo la wanasheria based on scenario ya Fei ,unazani hao wanasheria hawa kuliona hilo la unilateral. Unaweza ukazungumzia hilo je scenario yako inaapply kwenye mpira na kwenye swala la Fei.
Hilo alikua sahihi lakini kulingana na kanuni za TFF za kichampionship 2021 kanuni ya 74, TFF ndio msimamizi wa mikataba hivyo kama unataka kuvunja wao washirikishwe, Feisal hakufanya hivyo hapo ndipo walipo mkamata.

Lakini wewe huelewei, kwasababu nimeeleza yote haya na nimeyarudia lakini umekaza fuvu tu
 
Kama ni siku wachezaji waamke walipe hela ya kuvuja mkataba,
Waweke kwenye akaunti na siku una mechi ya fainal CAFCL ligi utachezaje
Mpinzani wako atapewa Point 3 na timu haitocheza maana haina wachezaji sababu wamevunja mkataba. na kama wapo basi wana kesi na club baada ya jaribio la kuvunja mkataba
Mkataba mnakaa pande mbili

Mchezaji anaimarika kwa mengi
Team inamletea makocha
Team inaleta wachezaji wanaomzunguka
Team inamweka kambi
Team inampeleka gym
Team inampa washauri
Halafu kesho mchezaji agome aweke pesa akaunti then unaona sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndo msingi wa kiasi cha fidia ili uvunje mkataba ila mkataba unavunjika.

Kumbuka, wachezaji hawavunji mkataba si kwa sababu ya sheria haiwaruhusu bali ni kwa sababu ya gharama watakazotakiwa kulipa kwa kuvunja mkataba. Hizo gharama zinatokana na hayo mambo uliyoyataja hapo juu.
 
Sasa unafikiri kuwepo kwa hiko kifungu ndio kinafanya wachezaji wavunje mkataba wote ?

Mbona mnatumia makalio kufikiri, mbona serikalini na taasisi binafsi kuna hiyo option mbona watu hawafanyi hivyo ?

Sasa nenda kasome FIFA regulations on the status and transfer of players article 17
Huku pamejaa wajinga wengi sana usiwatukane waeleweshe tu.

Nawaambia vyura washukuru Mungu ile issue ya Fei.... Samia aliingilia kati akawanusuru na aibu waliyokuwa waende kuipata CAS. Nawaona wanavyochukulia mambo kirahisi tu huku wakiwa hawajui chochote.

- Kwa ule mkataba wa Fei na vyura, vyura walikuwa hawatoboi popote, kuna vifungu waliweka mule ndani vikawa vinawabana wenyewe, na Fei kwa kutambua hilo ndio akavitumia kuwatandika viboko.

- Hawajiulizi kama wanaamini haki haikuwa kwa Fei kwanini wakamuacha aondoke tu kirahisi hivyo? hawajui watu yaliwafika shingoni ikawabidi kukubali ukweli, na mashabiki wa vyura kwa ujinga wao wakaamini Fei ameondoka kwasababu Samia ameagiza...

Wanadhani na kule CAS wangebebwa na TFF ya Karia kama walivyobebwa kina Hersi na Manara, kwenye ile kesi yao ya Manara kuwepo uwanjani siku ya Wananchi huku akiwa amefungiwa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sasa unafikiri kuwepo kwa hiko kifungu ndio kinafanya wachezaji wavunje mkataba wote ?

Mbona mnatumia makalio kufikiri, mbona serikalini na taasisi binafsi kuna hiyo option mbona watu hawafanyi hivyo ?

Sasa nenda kasome FIFA regulations on the status and transfer of players article 17
Kwanini wasivunje wote kama wako huru kuvunja na wameamua siku moja wote wavunje mkataba na team ina mechi na ina mahitaji nao watachezaje?

We unadhani team hazina haki na hazilindwi maslahi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wasivunje wote kama wako huru kuvunja na wameamua siku moja wote wavunje mkataba na team ina mechi na ina mahitaji nao watachezaje?

We unadhani team hazina haki na hazilindwi maslahi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kama wakiamua na uwezo upo wanavunja. Kwanini unadhani haiwezekani? WANAVUNJAA. We sema hiyo fidia Club itakayopata ni pesa za kutosha.
 
Hizo pesa wanazo za kuvunja ?, Ataishije akishavunja makataba ? Na sasa hatocheza mpaka dirisha lifunguliwe kiwango chake kitakuwaje ?
 
Mkuu, kama wakiamua na uwezo upo wanavunja. Kwanini unadhani haiwezekani? WANAVUNJAA. We sema hiyo fidia Club itakayopata ni pesa za kutosha.
Fidia ya nini wakati ni haki yao na wametiza haki za club

Hivi nyie mbumbumbu mna shida gani vichwani?

Mkataba utauvunjia getho bila mwajiri kuzungumza nae

Yan kesho madaktari Tanzania waamue wavunje mkataba itakuwaje afya za wagonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom