Naamini Dube ni mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi ya hiyo, lakini mimi nipo kwenye hoja yako ya Uwazi...Ukubwa au udogo wa M750 unategemeana na thamani ya mkataba. Yanga hawakuwa wazi kama Azam walivyo wazi.
Kwamba wewe unawaamini Azam kwamba wapo wazi kuwa thamani ya Mkataba wa Dube ni $300,000? Kutamka tu umewaamini?