Azam mmeweka channel nyingi sana za kidini za akina kuhani Gregory,Koses na Rogatusi

huyu alie lalamika ni mshenzi tu chuki ya udini inamtafuna hata dini ya uisilamu haijui hizo picha zinazo lushwa na azamu azina mahusiano na dini ya uwisilamu ni maigizo kama maigizo mengine tu sababu kaona waigizaji ni waarabu na mwenye kampuni ni mualabu tayali chuki ya uwisilamu imeanzia hapo,kweli waarabu mnawachukia sana pamoja na waisilamu lakini kodi zao mnazitaka
 
ndugu yangu watu hawa wanachuki sana tena sana hasa wakiona muarabu sasa hawa warabu wanalipa kodi wameajiri watu wengi tu kodi yao inalipa mishara ya watumishi wa umma mkopo ya wanafunzi wa elimu ya juu bado mpaka hayo masele ya makanisa yanapata ruzuku kutoka kwa baadhi ya hizo kodi zao baniani mbaya kiatu chake dawa tabia ya jiwe hiyo
 
Nilisha achana nao hao ma bwegee wafuga ndevu na wavaa kobasi hasa walipoleta upumbavu wa kutafsiri hayo ma series yao ya kifara,Mpaka wake zetu wamekua addicted hawahudumii familia pumb.vu sana hawa rubudani kwa yote
lakini kodi zao unazitaka zinakusaidia chuki ni zaidi ya uchawi
 
Nilisha achana nao hao ma bwegee wafuga ndevu na wavaa kobasi hasa walipoleta upumbavu wa kutafsiri hayo ma series yao ya kifara,Mpaka wake zetu wamekua addicted hawahudumii familia pumb.vu sana hawa rubudani kwa yote
Islamophobic can be cured
 
naongezea bado kodi wanayo kusanya na kulipa ni kubwa sana inawalipa walimu madwa nk hili uwe kafiri shariti uwe na chuki hata kama huna sababu ya kuchukia nchii hakuna kafiri alie ajiri vijana wengi kama hao wanao wachukia
 
Mpaka mkeo anafika hatua ya kuwa addicted na series na hakuhudumii basi jichunguze mkuu uwenda tatizo sio Azam tv
mungu mkubwa sana kuliko chochote,jamaa chuki yake kawasema wavaa kobazi(waisilamu)pia kajisahau mpaka katoa siri ya nyumbani kwake chuki ni zaidi ya uchawi
 
dawa yao hamia huko kwa mwamposa mbona amna kesi au chuki inakusumbua kwa chuki amjabo hehehe!!!!!!
 
unapo sikia mkiristo anasema kobazi tambua anawasema waisilamu tu chuki chuki
 
Kwani sio lazima kuangalia chagua unazotaka....Azam ni distributor wa channels za wengine ambao hawawezi kurusha channels zao na wanalipa kila mwezi ukiacha pesa ni huduma pia kama mtoa huduma alipewa leseni hiyo ....sio lazima tune channel usizopenda
 
Mtu anayetumia king'amz cha Azam huwa namshangaa, labda wenye vibanda umiza sababu ya mpira .... unakimbilia ving'amz vya hovyo hovyo wakat DSTV ipo
we ving,amz via azam achana navio tu nunua ngano maji sukari hata kodi analipa kubwa sana utamfaidi azam kwa njia hizo
 
Hao makuhani wanalipia hizo channel yani mtu asifanye biashara kisa kukufurahisha wewe.
 
Kama zinakukera si uziondoe ubaki na unazotaka.
Watanzania tunalialia hata vitu ambavyo havina maana
 
Kwenye hili naona azam wana channel nyingi za kikristo, kwa jinsi walivyo na uislam nadhani hizo channel za wakristo zisingekuwepo kabisa, hapo sawa lakini ndizo nyingi kuzidi za upande wao mi kuna channel za manabii nimezijulia azam, burudani kwa wote,
 
Hakuna channel ya kuangalia mule cha ajabu hata kina Mohammed, Yahaya ,Halima, Zainab wanakidiss kiukweli wameshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na mimi kutoka kile cha ki China sasa nakula Fiber watakoma
Unakiponda kuwa kinachukiwa wakati takwimu zinaonyesha ina wateja zaidi ya mara 4 ya DSTV yani kinaifuata startimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…