25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
huyu alie lalamika ni mshenzi tu chuki ya udini inamtafuna hata dini ya uisilamu haijui hizo picha zinazo lushwa na azamu azina mahusiano na dini ya uwisilamu ni maigizo kama maigizo mengine tu sababu kaona waigizaji ni waarabu na mwenye kampuni ni mualabu tayali chuki ya uwisilamu imeanzia hapo,kweli waarabu mnawachukia sana pamoja na waisilamu lakini kodi zao mnazitakaMakuhani gani, si useme wamejaza chaneli za kiislam, kama mmilili ni muislam ataweka chaneli za kutukuza dini yake. Kama si mambo ya kibiashara angejaza chaneli zote za kiislam ahubiri uislam. By the way kuna ving'amuzi vingi unaweza kununua king'amuzi kingene kisicho na chaneli hizo nyingi