Duuh..!! nimejitahidi kusoma andiko lote lakini nikagundua mwandishi anamsongo wa mawazo coz anajaribu kusema majina yote mazuri aliyoyatoa Baraka Mpenja kwa wachezaji wa SIMBA SC pamoja na kuwapa wachezaji morali na mileage pamoja popularity nchini mfano mzuri MWAMBA WA LUSAKA, PUTIN, MK14, SHOW ME THE WAY, THE LEFT FOOTER MAGICIAN [emoji145], Pira BIRIANI na mengine mengi kumbe Alikuwa analipwa na SIMBA afanye yote hayo, harafu unataka kutumbia akina Saleh Jembe, bin Kazumari, Jef Lea, pamoja na wenzao wote wanalipwa na SIMBA?
Kinachotakiwa Viongozi wasajili vzr, walete walimu wazuri na timu icheze mpira mzuri pamoja na matokeo mazuri hivyo ndivyo vitu mashabiki wanataka.
#Poor thinking.