The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Hapo Azam mtangazaji wa maana ni Gharib mzinga, Mpenja ni kelele tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kilichokukera ni Mpenja kusema upande ule Wana pira papatupapatu!?Unaweza kumsifia mtu, watu au timu bila kukashfu au kudhihaki wengine. Mtangazaji pro anayejitambua atatangaza mpira huku anajua siyo kila anayeangalia ni mpenzi wa timu fulani kwa hiyo lazima shobo lako liwe la vipimo. Katika ile mechi kulikuwa na watazamaji wa ASAS na wasio na timu na wote hao wamelipia ving'amuzi, kwa hiyo wamekulipa pesa ili wewe uwakwaze? Hata hilo mnashindwa kuling'amua ndugu zangu?
Tunapoongelea kuongeza weledi katika mpira hata mambo haya ni ya kuyaangalia.
Baraka Mpenja, Mwamba wa Umalila Fahari ya Itete, Huyu ni Simba lialia na kuna kipindi alisimamishwa kutangaza mpira na Azam baada ya kutangaza goli la Kagera Sugar walilowafunga Simba kinyonge kama vile hajafurahishwa watu walilalamika kwamba alionyesha mapenzi ya dhahiri rejea goli hilo siku Magu akiwa uwanjani Simba alikuwa unbeaten before that matchJana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili...
Naomba takwimu Kati ya Simba na Yanga nani amemfunga Azam mara nyingi??Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili...
Amekuwa na tatizo hili kitambo. Ndiyo maana nasema mtangazaji hautakiwi kuonyesha mahaba yaliyopitiliza kwa timu fulani, haijalishi timu hiyo ni ipi. Nimewahi kusikia watangazaji wa mpira wa Azam wanakosoa maamuzi ya refa waziwazi.Baraka Mpenja, Mwamba wa Umalila Fahari ya Itete, Huyu ni Simba lialia na kuna kipindi alisimamishwa kutangaza mpira na Azam baada ya kutangaza goli la Kagera Sugar walilowafunga Simba kinyonge kama vile hajafurahishwa watu walilalamika kwamba alionyesha mapenzi ya dhahiri rejea goli hilo siku Magu akiwa uwanjani Simba alikuwa unbeaten before that match
Acha uongo.Baraka Mpenja, Mwamba wa Umalila Fahari ya Itete, Huyu ni Simba lialia na kuna kipindi alisimamishwa kutangaza mpira na Azam baada ya kutangaza goli la Kagera Sugar walilowafunga Simba kinyonge kama vile hajafurahishwa watu walilalamika kwamba alionyesha mapenzi ya dhahiri rejea goli hilo siku Magu akiwa uwanjani Simba alikuwa unbeaten before that match
Acha kujihisi mkuu kwani simba inaitwa 'ule upande wa pili' harafu yeye amesomea kazi yake wewe ni nani uje umpangie aisifie timu yako ili kukufurahisha kwenye hakuna.Muulize aliyesema. Na kwa kuwa alikuwa anarudiarudia itakuwa anaamini kuna timu inacheza hivyo
Vipi ulikuwa bado hujaja mjiniAcha uongo.
Ujinga mtupuuuu....Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Nimemaliza.
Mpenja kawapa majina sana wachezaji wa Simba, kawatungia nicknames kibao mpaka yakawa majitu ya kutisha., leo hii kuisifia yanga kawa ADUI.Duuh..!! nimejitahidi kusoma andiko lote lakini nikagundua mwandishi anamsongo wa mawazo coz anajaribu kusema majina yote mazuri aliyoyatoa Baraka Mpenja kwa wachezaji wa SIMBA SC pamoja na kuwapa wachezaji morali na mileage pamoja popularity nchini mfano mzuri MWAMBA WA LUSAKA, PUTIN, MK14, SHOW ME THE WAY THE LEFT FOOTER MAGICIAN [emoji145]
Pira BIRIANI na mengine mengi kumbe Alikuwa analipwa na SIMBA afanye yote hayo, harafu unataka kutumbia akina Saleh Jembe, bin Kazumari, Jef Lea, pamoja na wenzao wote wanalipwa na SIMBA?
Kinachotakiwa Viongozi wasajili vzr, walete walimu wazuri na timu icheze mpira mzuri pamoja na matokeo mazuri hivyo ndivyo vitu mashabiki wanataka.
#Poor thinking.
Wakati Yanga inasajili nyie Makolo mlikuwa Uturuki kurekebisha shape, lazima mvune mlichokipanda.Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi" na kauli aliyokuwa anairudia mara nyingi ni "huu ni mpira wa kitabuni, siyo mpira wa papatu papatu". Ulikuwa unawalenga kina nani kwa kauli hizo?
Viongozi wa Simba nao waamke, hali iliyokuwepo msimu uliopita ya kuishi kinyonge haitaifikisha hii timu popote. Karibia media zote sasa hivi ziko kwenye payroll ili kuichafua Simba. Mnaweza kuyaona haya mambo ni madogo ila media ina nguvu sana inaweza kuupamba uongo hadi ukaonekana kweli.
Azam kiujumla ni kama wamekuwa na bifu na Simba ndiyo maana wanasimba wengi wanafurahi mnapofanya vibaya. Uwanjani mnaikamia Simba halafu Yanga wanajipigia wanavyotaka.
Mechi zinazochezwa uwanja wa Uhuru hawafanyi coverage nzuri, Camera ya muhimu inawekwa chini na muda wote unaona kwanza mabenchi na nguzo kabla haujawaona wachezaji waliopo uwanjani. Mechi za mikoani hawaweki camera za kuonyesha offside, matokeo yake minong'ono kuwa Simba inabebwa na marefa inakuwa na nguvu bila ushahidi wa kutosha. Inabidi wawepo watu ndani ya Simba kuhakikisha mechi zake hasa zile za nyumbani zinatangazwa ipasavyo.
Kwa ujinga huu ndiyo maana wengine ikifika makundi tu ya CAF tunaswitch DSTV. Watangazaji wa nje wanatoa facts siyo mahaba binafsi na pia hawatangazi mpira kama wako redioni.
Nimemaliza.
Maneno aseme yeye uniulize mimi?"Nani anateseka, wanaoteseka wapo wapi, kwanini uteseke, nani alisema Simba haiendi makundi..." Baraka Mpenja kwenye ubora wake...anyway mtoa maada hapo Mpenja alikuwa anawasema kina nani wanaoteseka?
Unampangia mshehereshaji kusheheresha wenye shughuli yao?, Kama Simba inacheza pira papatupapatu asiseme?. Hata hivyo mtamgazaji kuna mahali aliitaja Simba?, mashabiki wasimba mnaongoza kuwa na nyuzi za kisengelema Sana humu... Hebu punguzeni ujuha nyambafu nyie.
Doooh! huna haya kumbeJana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.