SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #41
Popote ulipo Baraka Mpenja napenda kukuambia kuwa ndugu zako Umalila wanakupenda sana ila jitahidi kudeal na kazi yako punguza mahaba na maelezo mengi kama watafsiri muvi za kivita kama Mkandala lufufu .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
ukiutazama mpira wa yanga dstv unakuwa mtamu zaidi
majina yote mazuri aliyoyatoa Baraka Mpenja kwa wachezaji wa SIMBA SC pamoja na kuwapa wachezaji morali na mileage pamoja popularity nchini mfano mzuri MWAMBA WA LUSAKA, PUTIN, MK14, SHOW ME THE WAY, THE LEFT FOOTER MAGICIAN [emoji145],
Nikazi ya comentantor kufurahisha upande uliofurahi.
Hata wakati Simba anafanya vizuri uwanjani nimeshuhudia mara nyingi Mpenja akituma madongo kwa Yanga.
Yaani wamecheza game mbili hawakusema hata siku moja kwamba ile timu msimu uliopita iliishia nafasi ya pili kwenye ligi yao na kwa nini inashiriki badala ya bingwa. Hawakusema pia kwa nini wamechezea mechi yao Dar badala ya kwao. Inawezekana hata ukimpigia simu sasa hivi hana majibu. Hii ndiyo inatofautisha hawa watangazaji wa AZAM na wa nje maana hawa kina Mpenja hawafanyi utafiti kabla ya mechi. Haya mambo ya sijui kuwapa majina wachezaji ni upuuzi mtupu si kazi yake hiyo.