AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals


ukiutazama mpira wa yanga dstv unakuwa mtamu zaidi

majina yote mazuri aliyoyatoa Baraka Mpenja kwa wachezaji wa SIMBA SC pamoja na kuwapa wachezaji morali na mileage pamoja popularity nchini mfano mzuri MWAMBA WA LUSAKA, PUTIN, MK14, SHOW ME THE WAY, THE LEFT FOOTER MAGICIAN [emoji145],

Nikazi ya comentantor kufurahisha upande uliofurahi.

Hata wakati Simba anafanya vizuri uwanjani nimeshuhudia mara nyingi Mpenja akituma madongo kwa Yanga.

Yaani wamecheza game mbili hawakusema hata siku moja kwamba ile timu msimu uliopita iliishia nafasi ya pili kwenye ligi yao na kwa nini inashiriki badala ya bingwa. Hawakusema pia kwa nini wamechezea mechi yao Dar badala ya kwao. Inawezekana hata ukimpigia simu sasa hivi hana majibu. Hii ndiyo inatofautisha hawa watangazaji wa AZAM na wa nje maana hawa kina Mpenja hawafanyi utafiti kabla ya mechi. Haya mambo ya sijui kuwapa majina wachezaji ni upuuzi mtupu si kazi yake hiyo.
 
Yanga, Simba, Azam ama timu yoyote ile watachukua ubingwa kwa kucheza na kushinda mechi zao uwanjani na kupata matokeo stahiki na wala sio kwa kusifiwa ama kupondwa na mtangazaji
Kuna muda mashabiki tunazidisha sana mahaba na kutaka kuweka mpira moyoni na kichwani kama ndo chakula ama pesa vile. Propaganda zilikua wakati wa usajili sasa ni muda wa kuona mafanikio ya sajili zilizofanyika vile ambavyo itazisaidia timu husika kushinda mechi na ubingwa na mafanikio zaidi kwenye mashindano ya kimataifa na wala sio huo upuuzi ambao mtoa mada anaongelea wa kina Baraka Mpenja hauna impact yoyote ndani ya uwanja
 
Nikazi ya comentantor kufurahisha upande uliofurahi.

Hata wakati Simba anafanya vizuri uwanjani nimeshuhudia mara nyingi Mpenja akituma madongo kwa Yanga.
Kuna siku huwa unaharibu reputation yako huwa nabaki nasikitika Sana. Hivi ni Nani aliyetangaza lile goli la Chama " Wanaosikitika wako wapi?"
Kuhusu ubora wa kurusha matangazo Siyo tatizo la Mpenja labda mleta mada ana bifu binafsi na Mpenja. Goli la 4 la Yanga mpaka linafungwa kamera ilikuwa inaonyesha benchi la Wachezaji wa akiba. Labda aseme timu nzima ya matangazo ya Azam ni mbovu Kwa Sasa lakini kusema kuna upendeleo kwenye urushaji matangazo kisa Mpenja ni kumuonea.
Big up kwako Kwa kuwa mkweli siku zote.
Facts speaks louder than speculations.
 
Yaani wewe una namba 9, 10 Kibu Denis na John Boko Mwenzako ana Pacome, Aziz k alafu raha zenu zifanane!! Wewe kwenye kiungo una Mzamiru na Kanute Mwenzako ana Aucho na Mudathiri mnataka raha zenu ziwe sawa!!

Mwenzako kwenye ngao anatupia Kamba mbili na mpira unapigwa mwingi mpaka una mwagika wewe unafaidika makosa ya kibinadamu yenye dhulma ndani yake.

Unataka usifiwe wewe ambaye shot on target kwenye mechi ya watani mnaipata dk ya 76?
Acha dharau kwenye kazi za watu.
 
Sema hapana kwa pira papatu papatu
 
Kweli Binadamu tumeumbwa kusahau.Hivi unakumbuka Simba alivyokuwa anasifiwa enzi za Simba ya Luis na Chama,,enzi zile za Yanga ya Zahera na bakuli?.Sasa kama umesahau,,ndo ujue kibao kimegeuka,,tena ni huyu huyu Mpenja aliyekuwa anawamwagia sifa Simba.Alifanya hivyo kwa sababu ya ubora wa kikosi walichokuwa nacho Simba ukilinginisha na wapinzani wao

Kwa sasa Yanga wana ubora unaostahili kusifiwa,,so wacha wasifiwe ,wanastahili
 
Kenge wewe. Upande wa pili ndiyo upi?
Utaje
 
Mwamba alitaka mechi ya Yanga isifiwe simba
 
Lini Boko au Kibu kacheza namba 10, tuanzie hapo kwanza
 
Nikazi ya comentantor kufurahisha upande uliofurahi.

Hata wakati Simba anafanya vizuri uwanjani nimeshuhudia mara nyingi Mpenja akituma madongo kwa Yanga.
Na ndiye mwanzilishi wa neno mpira biriani, kipindi ambacho Simba wanaupiga mwingi wakati huo Yanga wanacheza mpira bora uende. Leo hii mtu anaona wivu kazi ile ile ya mtangazaji akifanyiwa timu pinzani.
 
Na ndiye mwanzilishi wa neno mpira biriani, kipindi ambacho Simba wanaupiga mwingi wakati huo Yanga wanacheza mpira bora uende. Leo hii mtu anaona wivu kazi ile ile ya mtangazaji akifanyiwa timu pinzani.
Ulishawahi msikiliza peter drury kwa hiyo ulitaka mechi ya yanga aisifie simba ila tanzania kuna vituko

Unaweza kumsifia mtu, watu au timu bila kukashfu au kudhihaki wengine. Mtangazaji pro anayejitambua atatangaza mpira huku anajua siyo kila anayeangalia ni mpenzi wa timu fulani kwa hiyo lazima shobo lako liwe la vipimo. Katika ile mechi kulikuwa na watazamaji wa ASAS na wasio na timu na wote hao wamelipia ving'amuzi, kwa hiyo wamekulipa pesa ili wewe uwakwaze? Hata hilo mnashindwa kuling'amua ndugu zangu?

Tunapoongelea kuongeza weledi katika mpira hata mambo haya ni ya kuyaangalia.
 
Aisee ! Sikuwahi kujua kwamba maumivu ni makali kiasi hiki! Kumbe mnateseka sana! NA BADO! MTASEMA YOTE MWAKA HUU!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…