AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

Kwahiyo kilichokukera ni Mpenja kusema upande ule Wana pira papatupapatu!?

Aaahaaaa
 
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili...
Baraka Mpenja, Mwamba wa Umalila Fahari ya Itete, Huyu ni Simba lialia na kuna kipindi alisimamishwa kutangaza mpira na Azam baada ya kutangaza goli la Kagera Sugar walilowafunga Simba kinyonge kama vile hajafurahishwa watu walilalamika kwamba alionyesha mapenzi ya dhahiri rejea goli hilo siku Magu akiwa uwanjani Simba alikuwa unbeaten before that match
 
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili...
Naomba takwimu Kati ya Simba na Yanga nani amemfunga Azam mara nyingi??

Kama jibu ni Simba kwann useme Azam huwa anajiregeza akicheza na Yanga ili afungwe lakn Kwa Simba anakaza??
 
Amekuwa na tatizo hili kitambo. Ndiyo maana nasema mtangazaji hautakiwi kuonyesha mahaba yaliyopitiliza kwa timu fulani, haijalishi timu hiyo ni ipi. Nimewahi kusikia watangazaji wa mpira wa Azam wanakosoa maamuzi ya refa waziwazi.

Nashauri watangazaji wao wote na wachanganya picha warudi darasani wafundishwe mpira wa kisasa unatangazwaje na unarushwaje. Mapungufu ni mengi.
 
Waendelee tu ila haisaidii kitu cos mpira unachezwa uwanjani...huyo mpenja ni proffesional sana huyo..siku zuzu akikosea utaona atavomnanga mpaka utamshangaa
 
Acha uongo.
 
Muulize aliyesema. Na kwa kuwa alikuwa anarudiarudia itakuwa anaamini kuna timu inacheza hivyo
Acha kujihisi mkuu kwani simba inaitwa 'ule upande wa pili' harafu yeye amesomea kazi yake wewe ni nani uje umpangie aisifie timu yako ili kukufurahisha kwenye hakuna.
 
Mpeni Panadol atapasua kichwa tayari mishipa ya kichwa ishasimama kama viazi vitamu vya shinyanga..
 
Sasa Makolo mnavyocheza mpira wa hovyo a.k.a papatupapatu msiambiwe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ninyi hamna kitu mnacheza eti
 
"Nani anateseka, wanaoteseka wapo wapi, kwanini uteseke, nani alisema Simba haiendi makundi..." Baraka Mpenja kwenye ubora wake...anyway mtoa maada hapo Mpenja alikuwa anawasema kina nani wanaoteseka?
 
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.


Nimemaliza.
Ujinga mtupuuuu....
 
Mpenja kawapa majina sana wachezaji wa Simba, kawatungia nicknames kibao mpaka yakawa majitu ya kutisha., leo hii kuisifia yanga kawa ADUI.
 
Wakati Yanga inasajili nyie Makolo mlikuwa Uturuki kurekebisha shape, lazima mvune mlichokipanda.
 
Mpenja kawapa majina sana wachezaji wa simba, kawatungia nicknames kibao mpaka yakawa majitu ya kutisha., leo hii kuisifia yanga kawa ADUI.
Kwa hiyo kawa Baba Ubatizo? Halafu hakuna mtu aliyesema amekuwa ADUI
 
"Nani anateseka, wanaoteseka wapo wapi, kwanini uteseke, nani alisema Simba haiendi makundi..." Baraka Mpenja kwenye ubora wake...anyway mtoa maada hapo Mpenja alikuwa anawasema kina nani wanaoteseka?
Maneno aseme yeye uniulize mimi?
 
Hakukuwa na haja ya matusi mungu akusamehe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…