Azam sio huzikamia Simba na Yanga no. Ni timu ambayo wachezaji wake wanaweza kufichwa na kupewa hamasa ili wasihongwe na Timu kubwa

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!!

Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu.

Kama kila timu ikilinda wachezaji wake kabla ya kukutana na Simba na Yanga ligi itakuwa ngumu Sana na nzuri sio Sasa msemo wa Jk watu wanaweza kutoa pesa na unaambiwa mwachie Fulani afunge.

Ligi zote duniani vilabu vikubwa huwa na siku za mikosi. Man City unakula kitu anacho lkn kapoteza gemu na droo nyingi tu.

Kunawakati mbao, biashara na ata pamba, kagera na stendi zilifanya kazi za Simba au Yanga na walichoambulia kushuka daraja.

Ila mwaka huu Azam mbovu sana
 
Tatizo kocha wao, Dabo, ni kimeo.
 
Dunia ya kidijitali muamala ubaingia tu kwenye simu yako hata ukijificha chooni
 
Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!!

Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu.

Kama kila timu ikilinda wachezaji wake kabla ya kukutana na Simba na Yanga ligi itakuwa ngumu Sana na nzuri sio Sasa msemo wa Jk watu wanaweza kutoa pesa na unaambiwa mwachie Fulani afunge.

Ligi zote duniani vilabu vikubwa huwa na siku za mikosi. Man City unakula kitu anacho lkn kapoteza gemu na droo nyingi tu.

Kunawakati mbao, biashara na ata pamba, kagera na stendi zilifanya kazi za Simba au Yanga na walichoambulia kushuka daraja.

Ila mwaka huu Azam mbovu sana
Kagera hainawahi kushuka daraja toka ipande miaka ya 2000....
 
Back
Top Bottom