Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

Nashukuru similiki hiki kisimbuzi
 
Cha ajabu ITV iliyoanzishwa na mkristo mwaka 1994, tangu ilipoanzishwa imekaa kipagani pagani tu hadi leo. Hata kurusha nyimbo za injili watu walilalamika sana ndipo wakaanza kurusha baada ya miaka mingi ya kulalamika, tena kwa nusu saa tu kwa wiki.
Mengi alikua mfanyabiashara siyo mmishenari wa walutheri, japo alitoa sadaka na michango mingi sana
 
Ujumbe👆
 
Jikite kuangalia maudhui uliyokuwa umelenga pindi unanunua king'amuzi cha azam, maana nafikiri channel zao wamezionyesha kwenye kipeperushi......hayo mengine waachie ni maswala yao ya kimenejimenti.
Umejibu vyema, japo mechi hazichezwi kila siku, muda mwingine unabadilisha ladha
 
Sema maskini huwa wanajihisi wana haki muda wote.

Anyway, yaani kuwishiwa tu mtu anatoka povu mpaka anasema "tutasusia bidhaa za bakhresa".

Mbona naona hapa kuna tangazo la wale waendesha magari kuna kile kinanda cha jingle bell na jamaa wanasema merry christmas?

msijijaze upepo sana ndugu, mfano mimi nalipia king'amuzi ila huwa naangalia mpira tu hizo channel zingine sijawahi fuatilia kabisa.

Yaani mtu ananunua king'amuzi ili aangalie kasoro zake? Huo muda mnatoa wapi?
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
We jamaa ni KICHAA
 
Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia (mtaroni).
Sahih Muslim 2167
kwai hilo 👆nalo ni lalamiko au kitugani?
 
kwai hilo 👆nalo ni lalamiko au kitugani?
Ni muongozo wa waislamu, huruhusiwi ata kutoa Salam kwa wakristo na wayahudi

Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia (mtaroni).
Sahih Muslim 2167
 
Acha kulia lia hata kwenye mambo ya kijinga, kwani kwa kufanya hivyo wangekuogezea msosi nyumbani!?
 
Sisi waislam tumeagizwa kupendana sisi kwa sisi ni marufuku kutamka jina Yesu ndio maana tunamuita Issa
 
Wakristo na wayahudi walikua wakiwavuta nguo wanawake wa kiislam wanabaki uchi mitaani na visa vingine vingi sana wakati huo vilifanywa na wakristo na wayahudi dhidi ya waislam.

sasa ukiona Muhammad kapewa amri hiyo basi ipo sababu,embu anzia mwanzo nini kilitokea mpaka Muhammad akapewa iyo amri.
 
Mmililiki wa azam tv ni muislam kindakindaki, anahubiri uislam kwenye media zake, kuhubiri ukristo ni kutangaza dini asiyoiamini. Media zake zimekuwa zikiona ukakasi kuweka channel za kikristo. Zikiwekwa ni moja tu ambayo ni maarufu ili kuvutia wakristo kununua ving'amuzi vyake. Upande wa ajira nako kipaumbele ni wa dini yake, kwa ujumla kampuni hii imejaa udini na ubaguzi
 
Embu weka hiyo Hadith

Ila amri ya Allah ni kuwasukuma wakristo na kutowasalimia

Muhammad alisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa ya njia (mtaroni).
Sahih Muslim 2167
 
Mimi ni mkristu safi kabisa ila sihitaji mtu mwingine ahangaike na Iman yangu naamini katika Baba mwana na roho mtakatifu inatosha
 
Ving'amuzi vya azam kama si mpira vitadoda sokoni kwa kuwa na idadi ndogo ya wanunuzi. Mkristo gani atanunua king'amuzi ambacho hakina channel za kutosha? Mbona zuku, star times na dstv wanasherehekea christmas na wateja wao? yaani kampuni inapewa masafa na umma halafu inaleta dharau kwa wateja wake wasioamini dini yake hii si nzuri. Hiyo kampuni iachane na udini iwe fair kwa wateja wake wa dini zote
 
Nawasihi sana radio tumaini, wao japo ni wakatoliki ila kwenye siku kuu za kiislamu huwa wanatoa nafasi kwa salamu na kupiga nyimbo za off nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…