Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

Acha ku complicate mambo angalia kile unacho kipenda na kinachokuhusu mengine achana.nayo
 
Ukishajua kwamba unachokiona kwenye Tv na socio network ni agenda ya mtu anataka uiangalie baasi haupati shida
 
Shida sio kuwa na maudhui ya kidini naomba unielewe ndugu yangu katika Imani
Shida ni kupambanisha Imani za watu, moja kuichora kama Imani safi na nyingine kuwaita wadhalimu hii si sawa, na tena wanatumia hadi nyenzo takatifu za Imani nyingine kudhihaki

Mbona bongo movie zipo movie nyingi tu ambazo huegemea desturi za kiislamu lakini bila kukashifi Imani ingine? Movie za madebe na hata Mohamed nurdin nyingi tu ziko hivyo
 
Reactions: Lax
Mbona hata za kiislamu zipo ila hatuziongelei?
Si ipo iman tv, pia mahseen TV mbona hizo hatuzisemi?
Acheni kupangia watu vyakufanya wakat hamkuchnagia ata 100 kwenye kuanzisha iyo iyo biashara
 
Ni kweli alafu kwenye Azam Tv kuna channel nyingi za kikristo kuliko waislam
Channel za kikristo zilizo azam Tv
1.Tumaini Tv
2.Arise and Shine
3.WRM TV
4. Hope Channel
5.Upendo Tv

Za kiislam
1.Horizon Tv
2.Mahasin Tv
3.Tv Imaan.

Sasa Channel za kikristo zilivyo nyingi hivyo yeye bado kaamua kuziacha na kwenda kuangalia maudhui asiyo yapenda sijui anakwama wapi
 
Mbona movie kibao za Kimarekani zinaonyesha kuwa magaidi ni waislamu tena wakati mwengine wakiwa wanasoma Qurani kabisaaaa wakiwa na sifa mbaya kuchinja watu, , mbona waislamu tunaangalia tu hizo movie
 
Mkwawe njoo dstv kifurushi kizuri ni family parkage 37,000tsh unaangalia hadi raha
Nakuja mama hiki kisimbuzi chao nakiweka sokoni nilinunua kwa ajili ya ligi kuu lengo kubwa
sasa nitaangalia bandani tu
 
Mkwawe njoo dstv kifurushi kizuri ni family parkage 37,000tsh unaangalia hadi raha
Nakuja mama hiki kisimbuzi chao nakiweka sokoni nilinunua kwa ajili ya ligi kuu lengo kubwa
sasa nitaangalia bandani tu
 
Shida sana acha tu , na hapo Chanel za kiislamu zingekuwa nyingi kuliko za kikristo pia angeleta uzi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…