Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uyaseme hayokwa wasabato na siku yao ya sabato pia usitolee mifano kwa waislam tu !Tatizo kubwa la wafanyabiashara wa tanzania ndio maana hatuendelei
1. Unakuta mtu amefunga yeye kwa imani yake iwe lakini analazimisha watu ambao sio wa imani yake nao wafunge pale anapokuwa mtoa huduma wa biashara ya chakula anafunga hoteli mwezi mzima
2. Unakuta mtu anatoa huduma fulani na ana imani fulani labda jumamosi unakuta anafunga duka siku nzima. Sasa hao wateja watakuwa wanakusubiria wewe tu sehemu ambayo wanakuja mara umefunga mara umefungua kwa imani zako?
3. Kwani hao wanaojifanya hawarushi matangazo kisa kampuni ya pombe inadhamini kwani ni malaika hawatendi dhambi yoyote? na barabara zinazojengwa kwa kodi ya hizo pombe mbona wanazitumia?
Huu utakuwa unafiki wa khali ya juu..kama World cup iliyomalizika Russia wadhamini wakuu walikuwa mabingwa wa kilevi Budweiser na bado nchi yenye asili ya dini ya kiislamu kama Saudi Arabia na nyinginezo na zimeshiriki ikiwa ni pamoja kuonyesha michezo yote ikiwa na udhamini wa pombe achilia mbali hata hao Azam kureport matokeo ya michezo yoote...iweje leo mtuletee habari hizi za "kipuuzi" napenda kuamini kuwa ni uhongo mtupu na sio kweliTaarifa zilizotangazwa jana katika kikao cha ndani ya management hasa kitengo cha sports ni kuwa Azam haitarusha mechi hata moja ya ligi kuu baada ya Vodacom kutoendelea na udhamini kisha kuchukuliwa na wauza pombe TBL ambapo Policy ya Azam ni kutorusha aina yoyote ya pombe.
pia kikao hicho kimetoa pendekezo la kuiondoa timu ya Azam katika ligi hiyo.
Pole wenye vingamuzi vya azamView attachment 811392
Acha uzushi.... SPORTPESA imeonyeshwa na STARTv, hata walipokuja Everton, Azam hawakurusha mechi!Pombe No lakin michuano ya sportpesa super cup (kamari) wnaonesha live
Una uhakika bakhresa haendelei kwenye biashara zake?Tatizo kubwa la wafanyabiashara wa tanzania ndio maana hatuendelei
1. Unakuta mtu amefunga yeye kwa imani yake iwe lakini analazimisha watu ambao sio wa imani yake nao wafunge pale anapokuwa mtoa huduma wa biashara ya chakula anafunga hoteli mwezi mzima
2. Unakuta mtu anatoa huduma fulani na ana imani fulani labda jumamosi unakuta anafunga duka siku nzima. Sasa hao wateja watakuwa wanakusubiria wewe tu sehemu ambayo wanakuja mara umefunga mara umefungua kwa imani zako?
3. Kwani hao wanaojifanya hawarushi matangazo kisa kampuni ya pombe inadhamini kwani ni malaika hawatendi dhambi yoyote? na barabara zinazojengwa kwa kodi ya hizo pombe mbona wanazitumia?
Naona Azam wanajisahau watz wengi walinunua king'amuzi kwa sababu ya mpira wa bongo aiseee acha nijiandae kuuza king'amuzi chao wasiletee habari zao za kijingaWapewe dstv,tuwasahau hawa azam
Anazan yupo uarabuni acha atujaribu na sisi tumuoneshee . tena star times au ving'amuzi vingine wakipanga wataua Azam Tv kifo kibaya sanaTatizo kubwa la wafanyabiashara wa tanzania ndio maana hatuendelei
1. Unakuta mtu amefunga yeye kwa imani yake iwe lakini analazimisha watu ambao sio wa imani yake nao wafunge pale anapokuwa mtoa huduma wa biashara ya chakula anafunga hoteli mwezi mzima
2. Unakuta mtu anatoa huduma fulani na ana imani fulani labda jumamosi unakuta anafunga duka siku nzima. Sasa hao wateja watakuwa wanakusubiria wewe tu sehemu ambayo wanakuja mara umefunga mara umefungua kwa imani zako?
3. Kwani hao wanaojifanya hawarushi matangazo kisa kampuni ya pombe inadhamini kwani ni malaika hawatendi dhambi yoyote? na barabara zinazojengwa kwa kodi ya hizo pombe mbona wanazitumia?
Watakunywa mzeee hiyo hizo gharama unazan watafidia vpSwali nje ya mada lakn...hivi kwahyo mashabiki watakaoenda World Cup 2022 Qatar hatagonga Budweiser kama ilvokua Russia!?
Tatizo star time yeye hana mashine za kurekodi na kurusha live zaidi ana studio ya kurusha hewani kilichorekodiwa na watu wengine kama ilivyokuwa kombe la dunia , hivyo akitaka kuchukua kandarasi hiyo inamlazimu anunue vifaa vya kisasa kabisa kwa ajili ya kuonyesha live maana sioni kampuni nyingine yenye kamera bora kama za huyu jamaa mwenye dini yake ambaye anataka kututesa.Anazan yupo uarabuni acha atujaribu na sisi tumuoneshee . tena star times au ving'amuzi vingine wakipanga wataua Azam Tv kifo kibaya sana
Kila watu wana taratibu na kanuni zao, ni kama vile tulivyojipangia kusimama wakati kitambaaWanaona Pombe Ni Dhambi Wakati Nao Ni Wadhambi Tu. Lini Walikuwa Ni Watakatifu Kama Si Unafiki? Wanaogopa Tope Wakati Wanakanyaga Udongo
Mlianza kwa Bongo movie sasa ni Soka.Afunge asifunge atajua mwenyewe kwanza siangaliagi mpira wa kishamba mimi wa bongo hii.
Uongo wa karne huu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]unajua shida za kifedha ilizozikumba timu!?..azam wanatoa 100m kwa kila timu
Utamuuzia nani sasa?Naona Azam wanajisahau watz wengi walinunua king'amuzi kwa sababu ya mpira wa bongo aiseee acha nijiandae kuuza king'amuzi chao wasiletee habari zao za kijinga