GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mzee wa kuandika uchoko kaanza uchoko wake[emoji23][emoji23][emoji23]Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa ( Mmalawi ) wa kuwa nae Usiku mzima wa leo na niandae Pombe za Kunywa ili Kusheherekea tu Kutolewa rasmi kwa Klabu Moja na Tanzania kubakia Kuwakilishwa na Klabu Moja tu Kubwa Kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Simba Sports Club.
Kuna mahala niliona wameandika mara Saa 12 mara Saa 1 na hivi Wewe tena unasema ni Saa 2 Usiku.Saa mbili kamili kwa saa za afrika mashariki
Mbona kama unawashwawashwa! Huna utulivu hata kidogo. Kama vipi tukusaidie.Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya Simba Sports Club.
Jamaa akiliyao iko Kwa Yanga uku kwao maharage yanaungua baadae wanasema Yanga anahonga[emoji1][emoji1][emoji1]