Azam TV Mechi ya Timu yangu pendwa Club Africaine na Yanga Mihogo FC ni saa ngapi?

Azam TV Mechi ya Timu yangu pendwa Club Africaine na Yanga Mihogo FC ni saa ngapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya Simba Sports Club.
 
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa ( Mmalawi ) wa kuwa nae Usiku mzima wa leo na niandae Pombe za Kunywa ili Kusheherekea tu Kutolewa rasmi kwa Klabu Moja na Tanzania kubakia Kuwakilishwa na Klabu Moja tu Kubwa Kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Simba Sports Club.
Mzee wa kuandika uchoko kaanza uchoko wake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya Simba Sports Club.
Mbona kama unawashwawashwa! Huna utulivu hata kidogo. Kama vipi tukusaidie.
 
Ni saa 2.00 za usiku!! Tunashangilia kwanza Simba Queens saa 12.00 hadi saa 2.00 ndo wanaingia Mihogo fc kutafuna mihogo huko tunisia.
 
Back
Top Bottom