GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya Simba Sports Club.