Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

Jamaa yangu nilitaka nikupige bonge 1 la Neno ovu Ila nikakumbuka Kapeace mtu wangu wa faida alishanisihi sana nisiparangane na vitukuu na vilembwe vya Kambarage Nyerere hivi vitukuu na vilembwe na vilembwekeze havielewi hata vieleweshwe vipi

Ukileta Andiko lenye mashiko mithili ya Habari mzito lazima uisupport na ushahidi km picha, Video na sauti sasa Wewe unatuandikia udaku hivi tunakufikiriaje mtu wangu au unataka utembezewe matusi hizo camera za million 500 zipo Wapi picha ipo Wapi videos zipo Wapi zikionyesha hizo camera na mitambo hio mipya? Mengine sitaki kukuhoji sana maana najua nikikuhoji utabust bure
 
Kweli kabisa..
Inaonekana una utaalamu au unajua kuhusu camera .

Camera za wanyama kule porini ndio zinaongoza kwa gharama kutokana na kufanya motion capture graphics
Camera zina bei kubwa sana na pia ukiweza kupata camera bora ukaweza kupiga picha porini kwa kiwango wanachotaka wao utapata pesa ndio maana kampuni kubwa ndio zinaweza kuuza picha bora.
 
TBC wanachakujifunza
 
League ya bongo ni maarufu lakini kwa kipindi kikubwa imekosa aina hii ya watu.

Makofi kwa boss bora kabisa bongo,akifuatiwa na GSM kasoro boss mmoja wa kuchora🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃
 
Bakhresa yuko vizuri kajaliwa na kila kitu. Ila ajitahidi tu kwenye USAWA wote sisi ni watanzania.

adriz Sol de Mayo Webabu Adiosamigo
 
Media ya kipuuzi mno. MNO

Sijui wanashindaje superbrand

Watakalishwa tu

Ubora wa picha haubadiliki toka nipo mdogo

Angalia Azam sport 1 hd au UTV wako mubashara mugeni rasmi ni Kaphone MJ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…