Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

Ndio maana nasema Azam hawezi. Si ni biashara, sasa mfanyabiashara gani anafanya investment kujifurahisha na kutafuta sifa.
Na Azam yuko likely kunyimwa hakimiliki endapo ataweka dau mezani kwa hao kina La Liga, UEFA na EPL. Yaani waache DSTV mwenye viewers wengi zaidi in Southern Sahara waje kwa mbongo mwenye subscribers wachache hasa Swahili speakers. StarTimes ikiamua iko more likely kuipa challenge DSTV kwenye hizo anga kuliko Azam. Na Canal+ ndio hiyo imeteka soko la French speakers inataka soko la Arica nzima.
 

La Liga msimu ujao itakuwa Live Azam Tv, unalipi la kusema maana ulishajimaliza kwamba hawawezi kupewa hata La Liga.
 
Hiyo VAR ni ya kutumia kwenye uwanja wao au watakodisha uwanja wa Mkapa wakati wa mechi za kimataifa?
 
Vifaa vya mabilioni bila kupata tuzo ya super brand kama wale wa mzee mengi Ni hasara tu.

Ni sawa na pisi kali isiyo na akili/mgumba.
 
DSTV najua ni kampuni kubwa afrika sijalinganisha DSTV na Azam,bali nimesema kama azam angeonyesha EpL kwa Tanzania angepata watazamaji wengi kuliko DSTV maana wengi wetu azam ni rafiki zaidi kuliko hiyo DSTV.....Hizo Kamera kwa Tanzania sio jambo dogo mkuu.
Miaka ya nyuma wale G sport kibali walikiiba au walipewa kuonyesha EpL ?
 
Watz wengi ni vichwa maji wao wakiona juisi nyingi wanajua thamani ndo hiyo.
Kwa ufupi Multichoice ina thamani kuliko kampuni zote za ssb
 
La Liga msimu ujao itakuwa Live Azam Tv, unalipi la kusema maana ulishajimaliza kwamba hawawezi kupewa hata La Liga.
Serie A pia
Hawezi pewa exclusive rights. La Liga na Serie A sijui wanatoaje labda wanatoa non exclusive maana sio mfuatiliaji sana wa mpira ila ninachojua UEFA wanatoa exclusive rights akipewa mmoja kwenye ukanda huo hapewi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…