Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

Hapa kwetu mifumo ya kikodi ndio unaoleta ugumu kwa walaji. Mikodi mpaka kwenye Sox
na kodi hazijulikan hata zinafanya kitu gani, poor social service! barabara mijin mbovu, maji shida, mahospitali hayana dawa, walimu kwenye shule vijijini shida, kazi kweli!
 
kodi zinasaidia kulipia madeni ya Zanzibar.
 
na kodi hazijulikan hata zinafanya kitu gani, poor social service! barabara mijin mbovu, maji shida, mahospitali hayana dawa, walimu kwenye shule vijijini shida, kazi kweli!
Ni mwendo wa kununua ma v8 na kula bata. Semina na warsha zisizo na tija kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom